Ni Vyema Kunyoa!?

Hiyo ni mbinu ya kutafuta mtu wa kukunyoa, make unadhani utahisi raha kama unaponyolewa nywele za kichwa. Subiri watakuja wataalam wa mambo hayo.
 

Attachments

  • 379003_271782062883279_228697947191691_783096_1659260317_n.jpg
    379003_271782062883279_228697947191691_783096_1659260317_n.jpg
    13.8 KB · Views: 37
si unajua formula ya kunyonyolea kuku?chemsha maji ukalie,au tafuta jacuzzi japo itachukua muda.kama huwezi ku-afford tafuta rice cooker,ijaze maji,washa kisha ukalie,yatapungua taratibu,fanya hivyo kwa masaa mawili daily,kwa siku 8.
NB;paka poda kabla na baada ya remedy hii
 
Nina hisi nina Makata mavi mengi sana so nahitaji ushauri kama ni vyema Kunyoa au ni bora Kuacha. Tafadhari nahitaji ushauri jamani

Tafuta mtu akukague kwanza kama yanahitajika kunyolewa au la. Hofu yangu ni kwamba unaweza kuchukiza "hukoooo........" ukiyanyoa. Ninashauri uyafuge ili kupendezesha hayo maeneo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom