Ni vizuri Tanzania ikajenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication

Ni vizuri Tanzania ikajenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Kama nchi inataka kuondokana na umaskini ni vizuri yakafanyika maamuzi ya kibingwa ni pamoja na kujenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication kwa sababu zifuatazo
  • Vifaa vyote vya electronics vina PCB kama ubongo
  • Na pia silicon wafer zinatumika kwenye vifaa vya electronics kuprocess data na mara nyingi chipsets inawekwa juu ya PCB

Faid za kuwa na smelter ya silicon wafer na PCB fabrication
  • Itavutia viwanda vya electronics Tanzania kama TV, simu, computer n.k
  • Silicon wafer itauzwa kwa makampuni ya nje ya nchi yanayohitaji
  • PCB fabricated itauzwa nje ya nchi kwa wale ambao wanafanya PCB assembly
  • Serikali itapata mapato yasiyopungua usd dollar billion 3 mapato ya waziwazi a hili yale ya Multiplier

 
Hii ni pcb
images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom