Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 880
- 937
Wadau wa jf, ni katika project ambazo mwaka huu itakuwa mwendelezo wa kutekeleza, nimefanya uchunguzi na kugundua bado tz hatuna vitovu vya ubunifu vya kutosha, sasa, mwaka 2017 ninataka kuanza na kuanzisha hub hyo hapa Morogoro. Ninaombeni ushauri juu vitu gani vinahitajika ukiachana na jengo ili kuanzisha?