mbona umefanya uchanganuzi,?itakua hujtambui inabd uende kisura ukpte kujtambua
Wana jf vitabu gan vinahuska hapo
Kwa History nunua Mastering history advanced level 1&2 vya Katto unaweza kuongezea na cha Zisti, kwa kiswahili Nyambari akuhusu na kwa Language nunua English advanced level paper one na two vimeandikwa na Nicholous Asheli pamoja na vile vya kadeghe
Nakutakia maandalizi mema ya kuitwa msomi.
History,kiswahili, English.
History,kiswahili, English.