Ni vita, Rage amvaa Mnyika


Mkuu heshima kwako.Nadhani alichoaema Rage ni sahihi. Rais ameteua kwa mujibu wa katiba iliyopo sasa. Hapa tatizo si Rage wala Rais tatizo ni Katiba ambayo tunatakiwa tuijadili na kuiunda upya na madaraka kama ya kuteua watu kama hao yaondolewe kwa Rais. Iwe kama Kenya ambapo nafasi kama hizo zilitangazwa na watu kuomba na kuhojiwa hadharani. Ila sasa tatizo wanalolipata wakenya ni kwamb mchakato na nafasi zilichukuliwa na wanaharakati!
Mkuu Rage alitakaswa na mahakama kuu hivyo conviction yake ilifutwa.
 
Ruge ni Al shaabab nasikia, wana jf mnijuze katika hili.....!

Mbona kule Igunga hiyo ilikuwa ovious! Unajua Al Shababu ni wadau wakubwa wa kuilinda seroikali ya ccm. Maana wote ni waasi wa katiba ya nchi zao. Kama uamini muulize IGP Mwema au Jk mwenyewe atakuambia!!!
 

Huyo RAGE ni mjinga tu!Hajui kwamba matatizo mengi ya wananchi yanazaliwa na mfumo uliotengenezwa na katiba!
 
Rage anaeleweka ni mtu wa majungu tu, hata historia yake toka mwenyekiti DRFA, katibu FAT mpaka mwenyekiti Simba ni migongano tu. Hata hivyo lazima asifie JK kwni ndiye aliyemtoa jela.
 
Mkuu heading yako ilinishitua sana nilidhani Rage kampiga kamanda Mnyika kwa ile bastola yake

Lugha za waandishi hizo.mimi nia yangu wengi muone watu wanavojikomba.jinsi wasivyo wazalendo.
Nadhani rage atapata anachokitakitaka.
 
nipe tatizo ni rage, amehalalisha uteuzi, hivyo kuhalalisha katiba hivyo kushundwa kuwa na wisdom ya kukaa kimya hasa kutokana na historia yake ya kifedhuli

hapa haikuzungumziwa mamlaka, bali product iliyotokana na mamlaka........... tusichanganye mambo
 
Rage anaeleweka ni mtu wa majungu tu, hata historia yake toka mwenyekiti DRFA, katibu FAT mpaka mwenyekiti Simba ni migongano tu. Hata hivyo lazima asifie JK kwni ndiye aliyemtoa jela.

Embu tukumbushe alipelekwa jela kwa kosa gani.
 
Mh.Ruge ni Al shaabab nasikia, wana jf mnijuze vizuri katika hili.....!

Tukifuatilia sana wewe unaweza kuwa ni Mkikuyu tu unaejifanya mchagga wa Kishumundu!
 
Mbona kule Igunga hiyo ilikuwa ovious! Unajua Al Shababu ni wadau wakubwa wa kuilinda seroikali ya ccm. Maana wote ni waasi wa katiba ya nchi zao. Kama uamini muulize IGP Mwema au Jk mwenyewe atakuambia!!!

Losomich,
nashukuru kunijuza hayo sasa nimepata uelewa mzuri zaidi,
 
Embu tukumbushe alipelekwa jela kwa kosa gani.
Duh! hujui? alighushi stakabadhi ya malipo ya sh. milioni mbili akahukumiwa miaka miwili jela akatoka kwa msamaha wa Rais(Kikwete) baada ya kutumikia mwaka mmoja hivyo iaonekana bado ana hangover ya segerea
 
kwa hiyo mkuu unasema product ya mteule wa rais si mzuri? Kama si mzuri kwako kwa aliyemteua ni mzuri! Kwa hiyo mkuu ili mimi na wewe tupate product nzuri inabidi tushiriki kwa kupitia uwakilishi yaani mchakato uwe wa wazi na uteuzi ukifanywa basi wawakilishi wetu yaani wabunge waupitie n kuubariki/kuukataa. Hayo yote yanatakiwa yawepo kwenye katiba. Lakini kwa hali.ya sasa mtu mmoja kuamua si rahisi kukidhi matarajio yangu na yako! Kila mtu ni mbinafsi kwa hiho atakidhi matarajio yake kwanza! Tusipigie kelele product tupigie kelele process ya kupata hiyo product cause product is just an end result coming out of the process.
 
Kumbe Rage, phtuuh!
huyu ni mropokaji, mara nyingi amekuwa kimbelembele wakati upeo wake ni mdogo. hivi kweli jambo la tume ya uchaguzi halimgusi mwananchi wa kawaida, na hakuna jambo cdm wamedai ambalo mwananchi wa kawaida halimhusu.
 
Unajua kiukweli huyu mzee mm sijajua bado kuwa kwenye siasa alifuata nn?huwa simuelewi kabisa katika mambo anayongea!
Na nina wasiwasi katika uwezo wake wa kuchambua mambo,yeye anamshangaa MNYIKA kupinga sasa na yeye anachopinga kwa MNYIKA ni kipi?
Anasema kiongozi ni yule anayeguswa na mataizo ya wananchi na hili la tume la uchaguzi halimgusi sana mwananchi wa kawaida!
mmmh!yaani huyu mzee ni zerro brain kweli!
 
huyu msomalia namchukia sana. Huyu na Manji wanafanya hata soka la bongo liwe bovu. Oovyo
 
Embu tukumbushe alipelekwa jela kwa kosa gani.

Mi nnavokumbuka
alifungwa kwa ubadhilifu wa fedha kwa kilichokua chama cha soka Fat, kama sikosei
alifungwa na nadhani huko jela wali mkamerun kiaina ,lol!
 

MTM,
Hivi mpaka saizi utakuwa umekunywa bia ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…