Ni vipi jinsi ya kupangua hii situation?

Ni vipi jinsi ya kupangua hii situation?

Mkuu jipange tu kimfumo,mi kuna mmoja aliniletea hizo za ukaka mi namjibu dear au wangu mbona alikuja kuniita baba kitandani wakati ananizidi umri yaani lishangazi flani hivi.
 
Kaka unaogopa,je ukiitwa mtumish,mchungaji au shkh..?
 
Endelea kumfuatilia kama wiki hivi,yaaani hakikisha text na calls hazikauki kwenye simu yake,baada ya hapo akiendelea kukuita kaka mkaushie....i mean mkaushie mazima,no text no call hata salamu usimpe

Niamini mimi,ataanza kujileta tu

Akijileta,unajua nini utamalizia
I did this once, and it worked 100%! Nilimzoea akaanza niita kaka, nikahakikisha nampa attention ya kutosha nikihisi atabadilika lakini haikuwa hivyo kwa wakati ule nikaamua kumpotezea mazima hata status zake nikawa naview si-comment chochote!!! Baada ya kama wiki mbili alianza kujileta taratibu mpaka akajikuta yeye amezama kwangu balaa! Hatukudumu lakini, nilikuwa sio muaminifu kwake [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Endelea kumfuatilia kama wiki hivi,yaaani hakikisha text na calls hazikauki kwenye simu yake,baada ya hapo akiendelea kukuita kaka mkaushie....i mean mkaushie mazima,no text no call hata salamu usimpe

Niamini mimi,ataanza kujileta tu

Akijileta,unajua nini utamalizia
Inafanya kazi hii.. Nilikubali kuwa best friend wa mwanamke nnaempenda. Nilikua karibu nae mno, text na call kila wakati. Nilimfanyia favor na hizo favor nikazifanya azione specil na nmefanya kwa sababu ni yeye, sijawahi kumfanyia yeyote zaidi yake /asingekua yeye nisingefanya. Nilimfanya ajione nipo kwa ajili yake.

Badae nikakata mazoea ghafla, nlimfanya sio aone kwamba sipo, no.. Aone kwamba sipo kwa ajili yake. Alivyonitafuta kuniuliza kwa nini mchezo ukaishia hapo
 
Habari wanaJF

One way kwenye swali, yaani kidume unajikuta unaanzisha mazoea fulani na mwanamke kwa dhumuni la kumlia time ili umuapproach lakini katika harakati za mazoea hayo aisee manzi anaanza kukuita kaka yaani inakuwa kama ni defense mechanism fulani hivii.

Nahisi ili baadae ukapo kuja kumuapproach aje kusema "nilikuwa nakuona kama kaka yangu"

Sasa bandugu kama ulishawahi kukutokea hiyo situation uliwezaje kuipangua mpaka ukafanikiwa kuopoa manzi.
"ni vipi utapangua hii situation"!!vijana hata kutengeneza sentensi sahihi ya kiswahili,hamuezi,kwanini usiseme nitapanguaje hii situation
 
Habari wanaJF

One way kwenye swali, yaani kidume unajikuta unaanzisha mazoea fulani na mwanamke kwa dhumuni la kumlia time ili umuapproach lakini katika harakati za mazoea hayo aisee manzi anaanza kukuita kaka yaani inakuwa kama ni defense mechanism fulani hivii.

Nahisi ili baadae ukapo kuja kumuapproach aje kusema "nilikuwa nakuona kama kaka yangu"

Sasa bandugu kama ulishawahi kukutokea hiyo situation uliwezaje kuipangua mpaka ukafanikiwa kuopoa manzi.
Ulitakiwa uipangue alipokuita kaka kwa mara ya kwanza .
Ila bado haujachelewa mbona simple sana kutoka kwenye sutuatio hiyo ila we mwanaume jiongeze.
 
Mwache akuite kaka tena na wewe mwite dada vilevile ila anza utani wa wapendanao uone yeye atakuchukuliaje
Ukiona anakuelewa we kaza kamba utamla tu, na ukiona anapanik kwenye utani wako piga chini jua ana wake uyo atakufelisha!!
 
Chakufanya ongeza manjonjo mpaka kwenye hiyo Kaka aongeze msamiati akuite "Kaka uliechangamka"[emoji23]

Na hapo ukishindwa na mbinu nyengine ulizopewa na wadau nazo zikikwama basi ndugu jua halali utahitaji uhamie daraja la kichawi sasa! Hapo itabidi uipange mizimu imfanye akuone mtu mtamumtamu..[emoji1787] nafikiri tumeelewana.
Manjonjo yapi
 
Wengine tulisha itwa kaka na shkamoo juu....
Ilipofika siku ya mechi badi tuliendelea kuheshimika kwenye chaga (kaka Usheimen shkamoo, kaka Ushimen taratibu)....😂😂
Mwisho kabisa unajikuta unaambia, kaka Ushimen Asante...🤣🤣
Nina mshkaji wangu ni mhuni sana, yaana huwa anasimamisha majimama kabisa mpaka aibu unaona wewe yaani 🤣🤣

Na anayasalimia kabisa SHIKAMOO, halafu anayatongoza aisee.

Haya mambo bana ....
 
Jifanye Kama unedata then mkatae no text Wala call akikaa mwezi mzm bila kukutafauta achana nae.... kabisa
 
Back
Top Bottom