ki ukweli mkuu ina tegemea na mazingira ya kazi,kwa mfano kama upo ktk mashilika binafsi pia range ya mishahara inatofautiana kulingana na kazi ni jinsi unavyo liingizia kipato hilo kampuni,hususani kampuni za pombe na madini mishahara yao huwa ni ya juu sana ukilinganisha makampuni mengine,
ila kwa upande wa serikali mshahara wa eng yeyote yule ni TSG 500460 kwa kuanzia,Wakikata mambo yao hapo utabaki na lk 4 na upuuzi fulani hivi,kinachoumiza ni kodi kwa upande wa gov kwani kwa huo mshahara utakatwa tsh 46000 per month,health,na mengine kibao.ila huwa kuna kuwa na out allowance ambazo kwa eng huwa ni 60000 ukiwa manispaa,45000 wilayani,35000 kijijini yaani namaanisha ukiwa upo site kikazi,na kwa eng mfano mimi AGRO-ENG,unakuta mda wote nakamuwa kazi za design unatakiwa kulipwa 10% ya kazi nzima,
yapo mengi ya kukueleza ila nadhani kiufupi ni hayo
kweli dude ni gumu ila ukiliwezea linalipa
mapinduziiiiii daimaaaaa