ni vipi engineering fields zinavyolipa kwa engineers!

Qastrap

Member
Nov 24, 2010
17
0
ni aje hommiez! Mara nyingi najaribu kuangalia sayansi na teknolojia katika nchi yetu. Ni kweli serikali inahimiza au kuchochea mpango mzima wa sayansi na teknolojia kwa watuwe lakini bado sijajua ni kwa nini watu wengi hawayapendi masomo ya sayansi ukiiachilia mbali dhana ya eti ugumu wa masomo yenyewe! Hivi naomba kuuliza, hawa engineers especialy chemical engineers na mining engineers wanapata deal kweli? Na range zao za mishahara zikoje? Niambieni nipate mitazamo yenu you great thinker.
 
Kila field inalipa au hailipi inategemea tu ulipoajiriwa the basic shughuri ya ni nini......??? Kwa mfano kama shughuri ya kampuni ni sheria.......basi usitemee engineer yeyote aliyeajiriwa hapo kuwa na mshara mkubwa wa kumzidi lawyer.etc
 
ki ukweli mkuu ina tegemea na mazingira ya kazi,kwa mfano kama upo ktk mashilika binafsi pia range ya mishahara inatofautiana kulingana na kazi ni jinsi unavyo liingizia kipato hilo kampuni,hususani kampuni za pombe na madini mishahara yao huwa ni ya juu sana ukilinganisha makampuni mengine,
ila kwa upande wa serikali mshahara wa eng yeyote yule ni TSG 500460 kwa kuanzia,Wakikata mambo yao hapo utabaki na lk 4 na upuuzi fulani hivi,kinachoumiza ni kodi kwa upande wa gov kwani kwa huo mshahara utakatwa tsh 46000 per month,health,na mengine kibao.ila huwa kuna kuwa na out allowance ambazo kwa eng huwa ni 60000 ukiwa manispaa,45000 wilayani,35000 kijijini yaani namaanisha ukiwa upo site kikazi,na kwa eng mfano mimi AGRO-ENG,unakuta mda wote nakamuwa kazi za design unatakiwa kulipwa 10% ya kazi nzima,
yapo mengi ya kukueleza ila nadhani kiufupi ni hayo

kweli dude ni gumu ila ukiliwezea linalipa

mapinduziiiiii daimaaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom