onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,407
- 1,365
Hivi kipaumbele chetu kama taifa ni nini
Elimu .....tunajenga mdarasa mengi bila madawati, vifaa vya kufundishia na uhaba kibao wa walimu
Afya.......zahanati na vituo vingi vya afya vijiji na kata lakini bado Kuna upungufu wa vifaa tiba na watalaamu wa afya
Kiimo.....tuna ardhi lakini hatuna pembejeo na maji ya kumwagilia mashamba
Maji.......kulingana na mahitaji, watu na mifugo hakuna uwiano. Hatujaweza kuwafikia nusu ya watanzania wote.
Umeme.....hakuna mikakati ya kisera na kitalaamu tupate vipi umeme wa uhakika. Kila kiongozi anayeingia anaingia na wimbo wake.
Usafiri.....tumewekeza katika kuboresha shirika la ndege. Tunanunua mandege kibao tena tunavunja ratiba zetu kuzipokea kwa mbwembwe. Ripoti Kila mwaka ni balaa nyingine...hasara plus hasara.
Sasa tukae chini tupange kama taifa tuendelee na mbwembwe au tufanye maendeleo.