Shikilia hapo hapo#1 inanihusu sana. Kipato changu kidogo lakini najikuta natatua matatizo ya watu kiuchumi kila leo.
Hizi 10, 20, 30 nazitoa sana.
Mwambie SHABIBY aanze kutoa lift kwenye mabasi yake kwa wasio na uwezo wa kulipa nauli Kwani wapo ambao hukwama kusafiri kwa sababu hawana uwezo kabisa wa kulipa nauli na wanahitaji msaada.Nionavyo mie mtu hawezi kuwa tajiri kama hana elimu na maarifa kuhusu pesa.kusaidia wengine hakuzuii mtu kuwa tajiri.
Hata akitoa.lakini bado ana vyanzo vingine vya mapato vitavyomsaidia asiporomoke kwenye utajiri.Mwambie SHABIBY aanze kutoa lift kwenye mabasi yake kwa wasio na uwezo wa kulipa nauli Kwani wapo ambao hukwama kusafiri kwa sababu hawana uwezo kabisa wa kulipa nauli na wanahitaji msaada.
Wewe ni tajiri kwa mtazamo wangu.#1 inanihusu sana. Kipato changu kidogo lakini najikuta natatua matatizo ya watu kiuchumi kila leo.
Hizi 10, 20, 30 nazitoa sana.