Ni vigumu kuumbwa mwanamke kuliko mwanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni vigumu kuumbwa mwanamke kuliko mwanaume

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ikizu, Nov 11, 2011.

 1. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hayo yamesemwa na mh anna kilango malecela mjengoni leo wakati akiuliza swali je kunaukweli wowote hapo?
  naomba wanajamii mnisaidie kwa hilo
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Oooh labda na yeye anahusika katika uumbaji au labda umemnukuu vibaya, umechukua kaneno kamoja kamoja tu.....
   
Loading...