Ni vigumu kumridhisha mwanamke

Ni vigumu kumridhisha mwanamke

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,992
Reaction score
12,036
Jamaa yangu kazini leo kaanzisha ligi ati mwanamke haridhiki kabisa hata umfanyieje kwa sababu ameumbiwa tamaa kama baadhi ya vitabu vya dini vinavyosema.

Sasa sijui kama ni kweli, lakini ninachokiamini mwanamke wa kweli ni mvumilivu though sina uhakika na hilo la kuridhika.
 
...Jamaa angu kazini leo kaanzisha ligi ati mwanamke haridhiki kabisa hata umfanyieje kwa sababu ameumbiwa tamaa kama baadhi ya vitabu vya dini vinavyosema,sasa sijui kama ni kweli,lakini ninachokiamini mwanamke wa kweli ni mvumilivu though sina uhakika na hilo la kuridhika.

uyo jamaa yako amekudanganya co kweli
 
chris rock alijaribu kuelezea hili swala kwenye standup comedy..kuanzia dk 1 sec 40 [video=youtube_share;O8NnE5z9L_o]http://youtu.be/O8NnE5z9L_o[/video]
 
Itakuwa ni wale wa sayari mpya! Lakini hawa wa Dunia yetu.. Ukiwakunja vizuri, wanaridhika, tabasamu kwa wingi, na utapigiwa simu kutwa nzima inayofuata.
^^
 
Binadamu kwa ujumla hatuna jema...
jua likiwaka...aaah hili jua bana, mvua ikinyesha...aaah bora jua liwake..
Kipindi cha joto..aaah hili joto limezidi sasa...baridi ikianza..aah tunamisi joto..!
 
ndugu yangu,, mie n mwanamke nimefundishwa kukinai na kuridhika na kile nachopata,,,either kama niliepewa na mungu hana uwezo kilie kile alichonacho naridhika nacho....... tamaa mbele mauti nyuma
 
jamaa yangu kazini leo kaanzisha ligi ati mwanamke haridhiki kabisa hata umfanyieje kwa sababu ameumbiwa tamaa kama baadhi ya vitabu vya dini vinavyosema.

Sasa sijui kama ni kweli, lakini ninachokiamini mwanamke wa kweli ni mvumilivu though sina

uhakika na hilo la kuridhika.

atatosheka na nini ooh jamaa, kweli binadamu hatosheki hata ukimpa nini, by ishimanga asosa kalala
nb; siyo mwanamke tuu bali hata mwanaume na yeye ni hivyo hivyo, labda ulikuwa na maana nyingine , basi funguka zaidi
 
nilikuwa silijui hili, basi nitalianagalia kwa umakini wake....!
 
Back
Top Bottom