secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,831
- 47,848
😂😂😂 Mashetani wekundu wameondoka na mikeka ya watu, wanafoka Ile mbayaWapigwe tu😂😂😂
Wacha wapigwe washabiki wake walianza kunenepa tu mtaani ngoja ligi irudishe miili yao halisi..
Hii ni EPL, Simba na Yanga zinaingiaje hapo!Kwani Hull citu hana haki ya kufungua ligi vizuri au simba na yanga zimeharibu vichwa vyenu
Zinaingia kwa aina ya uchambuzi unaotolewa wa hovyoHii ni EPL, Simba na Yanga zinaingiaje hapo!
Pole na Man Utd yako. RelaxZinaingia kwa aina ya uchambuzi unaotolewa wa hovyo
Haina shida!Kula mtori nyama zipo chini
Niliacha kitambo kuwa shabiki kindaki +Ukishabikia mpira unaweza kuja pata mental illness
Bora niwe shabiki wa chakula tu, au muziki kuliko hii kadhia ya watu 11 wasio na maana yoyote uwanjaniNiliacha kitambo kuwa shabiki kindaki +
Kwa kweliBora niwe shabiki wa chakula tu, au muziki kuliko hii kadhia ya watu 11 wasio na maana yoyote uwanjani
Bwashee ni mpema sana kusema chochoteHaina shida!
Kabisa, ngoja tusubiri angalau mechi tano.Bwashee ni mpema sana kusema chochote
Umeona mimi ni man u ushabiki wa bongo bwanaPole na Man Utd yako. Relax
Akishasema mmemianza si jibu hilo mkuuWewe msambaa?
Hapana MALIMAO FCBora Ushabikie Tembo Warriors.