Ni uzi gani uliwahi kubadili mtazamo wako au maisha yako

Fisher_8

Member
Jul 26, 2019
80
225
Bila shaka weekend inakwenda vyema na poleni mnaokabili changamoto mbali mbali. Mungu wetu ni mwema bila shaka atawafanyia wepesi na nawaombea iwe hivyo.
Jamii forum imeanzisha mwaka 2006. Na karibu kila siku nyuzi mbalimbali huanzishwa na member wanazidi kujiunga.

Hii ni yaweza kuwa ni dunia nyingine nje ya dunia ya kawaida kuna pumba na mchele pia.
Yaweza kuwa umewahi kukutana na uzi ulibadili maisha yako au mtazamo wako kwa jinsi fulani. Unaweza kushare nasi hapa tunufaike.

Nyote mnakaribishwa isipokuwa yule wa kucomment ngoja waje.
 
Back
Top Bottom