Ni uzalendo upi tunaouhitaji!

Ni uzalendo upi tunaouhitaji!

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,170
Reaction score
3,106
Kama wanajipapambanua kwa uzalendo hawaishi maisha ya uzalendo, basi Tanzania tunasafali ndefu sana kufikia huo uzalendo wanaoungelea wao.

Ni kweli tunahitaji sana hili somo la uzalendo lakini je mwalimu gani anayetufundisha somo hilo? jibu rahisi ni kwamba tunamwitaji mwalimu ambaye anauishi uzalendo, anatenda uzalendo na anakula uzalendo. Haina ubishi uzalendo hauwezi kufundishwa na mtu ambaye hauishi uzalendo wenyewe kwa sababu watu wanajifunza vyema kwa matendo na sio maneno,

Ifike muda tujipime, ni kweli tunahitaji elimu ya uzalendo? na kama ni kweli, je ni mzalendo wa aina gani atufundishe somo hilo? tukipata majibu hayo tutafungua fulsa nzuri ya kupokea na kuweka mioyoni elimu hiyo.

Elimu ya uzalendo ianzie kwenye katiba mpya, tunataka tupate katiba ya kizalendo, katiba ambayo itamjali Watanzania bila ya ubaguzi, hivyo tunamwitaji mwalimu wa kutupa somo la uzalendo kuanzia kwenye katiba, kinyume na hapo elimu hiyo itapokelewa kama ni kikwazo katika kuijadili katiba mpya na ikaondo maana ya uzalend
 
huwezi kuwa mzalendo wa nchi wakati huheshimu wake za watu
 
katika wazalendo wa nchi hii, dr slaa hayumo
 
wengine tunatumia freebasics
 
Back
Top Bottom