Ni uwezo wa Zitto Kabwe au CHADEMA?

Ni uwezo wa Zitto Kabwe au CHADEMA?

kwani we nani unaetaka kila mtu ndani ya chadema akubaliane na mtu flan mfano mimi natoka huku mbinga mbambabay liuli nikiwa tofauti na mapenzi na mtu flani kinyume na nyie watu wa kina nape basi nianzishe chama chetu waliowatuma waambie ujatukuta haf tabia ya
kila mtu mwenye mapenzi na zito ni ccm mnaudhi sana kama mi mtu akiniita
 
changia uzi huu kwa maslahi ya chama na si kwa maslahi ya mtu fulani.maana huku mtaani chama kimechafuka na tunatumia nguvu nyingi kukitetea.

chama gani kimechafuka?hiyo mitaa unayoizungumzia ni ipi?masalia@work mmekuja kupima upepo eh?hapa ni mwendo wa za uso tuu......angalia tu malipo ya pasaka yasisitishwe.
 
Leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa Morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.Hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa Zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama,hivyo wadau wengi wakadhauri kua Zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu zifuatazo.

1.Kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.

2.Kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.

3.Zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.

4.Zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.

5.Watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.

TUMUUNGE MKONO KIJANA HUYU MCHAPA KAZI ILI ATUSAIDIE KUINGIA IKULU 2015.

Mkuu, umekuja kuuliza swali kuhusu nani maarufu zaidi kati ya mhe. Zitto na CDM au umekuja kumfanyia kampeni humu ndani ya JF kama hayo maandishi yenye wekundu hapo juu yanavyojieleza?

Kama ni udini, ukanda, n.k., mbona huyo Mhe. ni mbunge na ni kiongozi wa ngazi za juu wa chama chake?
Sasa hizo propaganda unazozisema atazishinda zina msingi gani?
 
Leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa Morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.Hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa Zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama,hivyo wadau wengi wakadhauri kua Zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu zifuatazo.

1.Kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.

2.Kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.

3.Zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.

4.Zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.

5.Watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.

TUMUUNGE MKONO KIJANA HUYU MCHAPA KAZI ILI ATUSAIDIE KUINGIA IKULU 2015.
Masalia na magamba kazini.
 
mkuu baada ya kuwasikiliza kwa haya yote mkuu we uliwaeleza/kuchangia nini?tunaomba maoni yako

binafsi niliwaeleza kua vikao vya juu vya chama ndio vitaamua nani wa kusimama.na niliwaeleza kua cdm kama taasisi ya kidemokrasia haitakosea kumuweka mgombea.na niliwahakukishia kua cdm haitaweka mtu ambae itakua vigum kumnadi.lkn pia niliwatoa wasiwasi kua hata chadema inaujua uwezo wa zito.pia kuna wana ccm wanaowatumia baadhi ya wanachadema kumchafua zitto hivyo wananchi wawe makini na propaganda za kuchafuliwa viongozi.ushauri wangu kwa wana jamvi ni kua tuwe makini na wote wanaokuja humu jf kumchafua zitto kwa kua anakubalika chadema na nje ya chadema.mfano mzuri ni ushindi wake ktk kamati ya bunge ya hesabu za serikali.PAC.
 
Stupid........., Mkwereni maarufu kuliko CCM! Hili linawezekana Tanzania pekee chini ya utawala wa CCM
 
jamaa mmoja alidai kua kanumba alikua maarufu sana kwakua alikua freemason.pia jamaa akasema kua diamond ni maarufu na anafanya vizuri kwakua ni freemason.akafika mbali na kudai kua kwa jinsi zitto anavyo kubalika kwa watu wa rika zote kua eti nae na freemason.hivyo kitendo cha raia kufikia kumzushia afande zitto ni majawabu kua ana upepo mkali na hivyo kukubalika sana .pia mdau mmoja aliniuliza kua mbona zitto alipotangaza nia ya kugombea urais 2015 alionekana anakigawa chama je mbona mbowe alipo sema kua dr.slaa anatosha mwaka 2015 alisifiwa mpaka na wazee wa chama akiaemo mzee mtei?nilimjibu jamaa kua mbowe ni binaadam hawezi kua sahihi kwa kila jambo na ndio maana dr.mkumbo na prof baregu waliipinga kauli yake na si kauli ya chama hivyo haki itatendeka kwa kuwawekea sura mpya itakayo ungwa mkono na wananchi wengi hasa vijana ambao ni zaidi ya 60asilomia.pia hata ccm eamejifunza baada ya kuanza kuwapa fursa vijana kwakua wanajua kua vijana wana ushawishi mkubwa.mfano ni kumteua jerr slaa kwenye cc kitu ambacho hapo nyuma hakikuwepo.means wameiga chadema.
 
Huwa nashangaa sana hawa wanaoponda Zitto, for sure hawajielewi hata kidogo.
 
Zitto ni mtu mzima, inabidi ahachane na mambo ya kitoto....Sasa amefika kujiona maarufu kuliko chama. Dont force yourself to remain relevant

Watanzania ndo wanaomponza kwa mapenzi yao kwao bahati mbaya anapigania haki kwa wavunjaji wa haki.
 
Hivi kwanini hao watu kijiweni wasifuati kauli ya Zitto mwenyewe? "fuata misingi ya chama na sio watu sababu watu wanayumba, misingi haiyumbi".
It is about time wanachama waache kukigawa chama kwa misingi ya udini na ukanda na waanze kupigana the real struggle.
Leo kuna more attacks from cdm members against cdm leaders than there are attacks from ccm.
 
Last edited by a moderator:
Mleta uzi humtakii mema zitto, watamponda humu hata wasione mchango wake mkubwa ktk chama.kwao wao slaa ndo chadema na chadema ndo slaa...
 
Leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa Morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya Tanzania.Hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa Zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama,hivyo wadau wengi wakadhauri kua Zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu zifuatazo.

1.Kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.

2.Kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.

3.Zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.

4.Zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.

5.Watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.

TUMUUNGE MKONO KIJANA HUYU MCHAPA KAZI ILI ATUSAIDIE KUINGIA IKULU 2015.

huyu kijana bana mimi simuungi mkono wewe na udini wako huko huko;; utalaaniwa
 
leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama,hivyo wadau wengi wakadhauri kua zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu zifuatazo.

1.kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.

2.kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.

3.zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.

4.zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.

5.watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.

Tumuunge mkono kijana huyu mchapa kazi ili atusaidie kuingia ikulu 2015.

,mmeanza tena nyie watu,hivi mkoje?
mkae mkijua ya kuwa kwa ilipofika chadema hivi sasa, hamtaweza kuiyumbisha wala kuisambaratisha kwa mbinu na propaganda za namna hii za eti kuwachonganisha viongozi wake!
kama mnataka lengo lenu litimie kama alivyoahidi yule binadamu wa kale,jaribuni kuja na mkakati mwingine huu ni wa kitoto sana!
 
kwa mtu yeyote makini anaefanya maamuz kwa UTAFITI
FIKRA
UKWELI&UJASIRI
asiyekuwa kibaraka atakubaliana na mada kuwa ZITTO ni chaguo sahihi na chaguo la wengi!!!
hata chadema,mbowe,slaa wanaliju hilo...!

karibu sana JF ustaadh, ila usisahau kuwaomba wa kuongezee na kale kaposho maana kazi uliyotumwa kuifanya hapa ina kaugumu flani hivi!
 
binafsi niliwaeleza kua vikao vya juu vya chama ndio vitaamua nani wa kusimama.na niliwaeleza kua cdm kama taasisi ya kidemokrasia haitakosea kumuweka mgombea.na niliwahakukishia kua cdm haitaweka mtu ambae itakua vigum kumnadi.lkn pia niliwatoa wasiwasi kua hata chadema inaujua uwezo wa zito.pia kuna wana ccm wanaowatumia baadhi ya wanachadema kumchafua zitto hivyo wananchi wawe makini na propaganda za kuchafuliwa viongozi.ushauri wangu kwa wana jamvi ni kua tuwe makini na wote wanaokuja humu jf kumchafua zitto kwa kua anakubalika chadema na nje ya chadema.mfano mzuri ni ushindi wake ktk kamati ya bunge ya hesabu za serikali.PAC.

mkuu hapo na ww uliwaingiza chaka!!! ccm wengi kwa sasa ndo wapiga kilele zito,zitozito huku hata kama atateuliwa na kamati kuu ku kompiti na mgombea yeyote wa ccm hawawezi kumpa kura!!! waliowengi wanaomuunga mkono walioko ccm ni wale wabaguzi wa dini kama ww mleta mada
 
Leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa Morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya Tanzania.Hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa Zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama,hivyo wadau wengi wakadhauri kua Zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu zifuatazo.

1.Kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.

2.Kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.

3.Zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.

4.Zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.

5.Watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.

TUMUUNGE MKONO KIJANA HUYU MCHAPA KAZI ILI ATUSAIDIE KUINGIA IKULU 2015.
Out of dissrespect Mwobwo nashindwa kuwaelewa watu wa namna yako ambao wanaamua kupost mada ambazo hazina mantiki yoyote.umetoa hii mada kwa lengo gani????unapotoa mada ya Mh Zitto na chama chake cha chadema na kupata comments za watu ni ili zikufurahishe wewe binafsi au ziwafurahishe waliokutuma?suala la kuongelea mambo ya uraisi miaka miwili kabla ya kufikia muda wa uchaguzi wa uraisi linasaidiaje wananchi kwasasa.Unapoongelea mambo ya uchaguzi wa Raisi 2015 wakati huu ambao tayari tuna Raisi yuko madarakani ambaye anahitaji sala zetu na ushirikiano wetu ili afanikiwe kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa,unakosea na unamvunja nguvu Mh Raisi kwenye utekelezaji wa shughuli zake.Kama wewe ni mfuasi wa Zitto sidhani kama una lengo zuri lenye kumsaidia Zitto au kusaidia chama chake kwenye uteuzi wa mgombea uraisi 2015.Mh Zitto alitoa nia yake ya kutaka kugombea uraisi 2015 kwa nia nzuri tuu akielewa kwamba kupata nafasi ya kuchaguliwa kuwa mgombea wa uraisi kupitia chadema ni suala ambalo lina jumuisha watu wengine na anayepata nafasi hiyo ni kwa kupitia wingi wa kura anazopata kutoka kwa wapigaji kura ambao ni wajumbe wa chama chake.Wapenzi na wafuasi wa chadema watampigia kura mgombea uraisi yoyote ambaye chama cha chadema kutampitisha kugombea uraisi 2015.nia ya Zitto ya kutaka kugombea uraisi 2015 isiwe ni sababu ya kujaribu kuivuruga chadema au kuleta malumbano kati ya chadema na zitto.mambo ya zitto na chadema tuwaachie wahusika na sio kazi yetu kuladili mambo yasiyo tuhusu.Ya kaisari mwachie kaisari na ya wananchi waachie wananchi.upotofu,umbeya,uzindiki na ubinafsi hauna nafasi hapa JF.Jamii forums ni sehemu ya kuelimishana, kupeana habari na kuchangia mawazo au hoja zenye manufaa kwa watanzania wote na sio sehemu ya udaku.ushindwe katika jina la Mungu/Allah ambaye ni mtoa maamuzi ya mwisho..
 
Back
Top Bottom