leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama.hivyo wadau wengi wakadhauri kua zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015.kwa sababu zifuatazo.
1.kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.
2.kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.
3.zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.
4.zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.
5.Watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.
TUMUUNGE MKONO KIJANA HUYU MCHAPA KAZI ILI ATUSAIDIE KUINGIA IKULU 2015.
changia uzi huu kwa maslahi ya chama na si kwa maslahi ya mtu fulani.maana huku mtaani chama kimechafuka na tunatumia nguvu nyingi kukitetea.
leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama.hivyo wadau wengi wakadhauri kua zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015.kwa sababu zifuatazo.
1.kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.
2.kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.
3.zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.
4.zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.
5.Watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.
TUMUUNGE MKONO KIJANA HUYU MCHAPA KAZI ILI ATUSAIDIE KUINGIA IKULU 2015.
345 umepatia sana zitto anauzika sio kwa maana hamna mwenye haki ya kugombea urais lkn zzk ndo chaguo
Unaongea mambo kwa kumkweza mtu..
kwa mtu yeyote makini anaefanya maamuz kwa UTAFITI
FIKRA
UKWELI&UJASIRI
asiyekuwa kibaraka atakubaliana na mada kuwa ZITTO ni chaguo sahihi na chaguo la wengi!!!
hata chadema,mbowe,slaa wanaliju hilo...!
Katiba inasemaje kuhusu umri wa kugombea urais
mkuu baada ya kuwasikiliza kwa haya yote mkuu we uliwaeleza/kuchangia nini?tunaomba maoni yakoleo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama,hivyo wadau wengi wakadhauri kua zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu zifuatazo.
1.kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.
2.kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.
3.zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.
4.zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.
5.watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.
Tumuunge mkono kijana huyu mchapa kazi ili atusaidie kuingia ikulu 2015.
kwani we nani unaetaka kila mtu ndani ya chadema akubaliane na mtu flan mfano mimi natoka huku mbinga mbambabay liuli nikiwa tofauti na mapenzi na mtu flani kinyume na nyie watu wa kina nape basi nianzishe chama chetu waliowatuma waambie ujatukuta haf tabia yamtaumbuka muda si mrefu, hamjakata tamaa na kuwaonea watanzania huruma baada ya mpango mzima wa masalia kufichuka? kama mnataka mwenyekiti au katibu kutoka kigoma si muanzishe chama chenu cha kikabila mueleweke kabisa? mnasubiri nini angali mnadai kinara wenu zzk anamvuto kwa jamii? hii ni baadhi tu ya mipango haramu ya ccm ya kutika kuuwa upinzani nchini! wameshindwa na watashindwa tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!