Ni uwezo wa Zitto Kabwe au CHADEMA?

Ni uwezo wa Zitto Kabwe au CHADEMA?

Mlombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
243
Reaction score
49
Leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa Morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya Tanzania.Hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa Zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama,hivyo wadau wengi wakadhauri kua Zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu zifuatazo.

1.Kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.

2.Kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.

3.Zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.

4.Zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.

5.Watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.

TUMUUNGE MKONO KIJANA HUYU MCHAPA KAZI ILI ATUSAIDIE KUINGIA IKULU 2015.
 
leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama.hivyo wadau wengi wakadhauri kua zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015.kwa sababu zifuatazo.
1.kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.
2.kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.
3.zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.
4.zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.

Masalia wanazidi kuja kwa rangi tofauti tofauti...
 
changia uzi huu kwa maslahi ya chama na si kwa maslahi ya mtu fulani.maana huku mtaani chama kimechafuka na tunatumia nguvu nyingi kukitetea.
 
hizi ndio i.d zinazomkosti zitto, zote mpya halafu zipo ki-masalia zaidi!
 
Zitto ni mtu mzima, inabidi ahachane na mambo ya kitoto....Sasa amefika kujiona maarufu kuliko chama. Dont force yourself to remain relevant
 
changia uzi huu kwa maslahi ya chama na si kwa maslahi ya mtu fulani.maana huku mtaani chama kimechafuka na tunatumia nguvu nyingi kukitetea.

Unaongea mambo kwa kumkweza mtu..
 
3,4,5 umepatia sana zitto anauzika sio kwa maana hamna mwenye haki ya kugombea urais lkn zzk ndo chaguo
 
kwa mtu yeyote makini anaefanya maamuz kwa UTAFITI
FIKRA
UKWELI&UJASIRI
asiyekuwa kibaraka atakubaliana na mada kuwa ZITTO ni chaguo sahihi na chaguo la wengi!!!
hata chadema,mbowe,slaa wanaliju hilo...!
 
masalia kazini, baaada ya pindua mbowe kushindwa sasa ni pindua slaa!!!!! tutaona mwisho wake.
 
leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama.hivyo wadau wengi wakadhauri kua zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015.kwa sababu zifuatazo.
1.kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.
2.kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.
3.zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.
4.zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.
5.Watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.
TUMUUNGE MKONO KIJANA HUYU MCHAPA KAZI ILI ATUSAIDIE KUINGIA IKULU 2015.

Zitto anakubalika sawa,anauwezo,yote sawa lkn kwa nafasi ya juu bado.......anayumbishwa kilahisi.
 
kwa mtu yeyote makini anaefanya maamuz kwa UTAFITI
FIKRA
UKWELI&UJASIRI
asiyekuwa kibaraka atakubaliana na mada kuwa ZITTO ni chaguo sahihi na chaguo la wengi!!!
hata chadema,mbowe,slaa wanaliju hilo...!

mtaumbuka muda si mrefu, hamjakata tamaa na kuwaonea watanzania huruma baada ya mpango mzima wa masalia kufichuka? kama mnataka mwenyekiti au katibu kutoka kigoma si muanzishe chama chenu cha kikabila mueleweke kabisa? mnasubiri nini angali mnadai kinara wenu zzk anamvuto kwa jamii? hii ni baadhi tu ya mipango haramu ya ccm ya kutika kuuwa upinzani nchini! wameshindwa na watashindwa tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katiba inasemaje kuhusu umri wa kugombea urais

Tunapiga kelele kila siku katiba ibadilishwe kwa7b uwezo wa mtu kiutendaji sio umri ni utashi tu wazee kama kina wassira,kingunge wana msaada gani
 
leo nilikuwepo katika kijiwe kimoja hapa morogoro,hawajamaa ni marufu sana kwa kuichambua siasa ya tanzania.hoja kubwa ikawa ni umaarufu wa zitto ambao wengi wanadai kwa sasa unazidi hata umaarufu wa chama,hivyo wadau wengi wakadhauri kua zitto ni mtaji mkubwa kwa chama endapo wataamua kumtumia ktk uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu zifuatazo.

1.kuifuta propaganda ya udini iliyoanza kuenezwa kwa wa tz.

2.kuifuta propaganda ya ukabila na ukanda inayoenea kwa kasi sana.

3.zitto anakubalika sana maeneo mengi kutoksna na michango yake bungeni yenye maslahi kwa taifa.

4.zitto kukosa kashfa zinazo mkabili.mfano wapo wanao shutumiwa kwa kuwa na kadi zaidi ya moja.hii ni ngumu kumuelewesha mwananchi wa kawaida.hivyo kwa zitto haitamkumba.

5.watanzania sasa hasa vijana wanaimani kubwa na vijana kuliko wazee.hii ni kutokana na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na vijana bungeni.

Tumuunge mkono kijana huyu mchapa kazi ili atusaidie kuingia ikulu 2015.
mkuu baada ya kuwasikiliza kwa haya yote mkuu we uliwaeleza/kuchangia nini?tunaomba maoni yako
 
mtaumbuka muda si mrefu, hamjakata tamaa na kuwaonea watanzania huruma baada ya mpango mzima wa masalia kufichuka? kama mnataka mwenyekiti au katibu kutoka kigoma si muanzishe chama chenu cha kikabila mueleweke kabisa? mnasubiri nini angali mnadai kinara wenu zzk anamvuto kwa jamii? hii ni baadhi tu ya mipango haramu ya ccm ya kutika kuuwa upinzani nchini! wameshindwa na watashindwa tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kwani we nani unaetaka kila mtu ndani ya chadema akubaliane na mtu flan mfano mimi natoka huku mbinga mbambabay liuli nikiwa tofauti na mapenzi na mtu flani kinyume na nyie watu wa kina nape basi nianzishe chama chetu waliowatuma waambie ujatukuta haf tabia ya
 
Back
Top Bottom