Ni uvumilivu wa wapinzani unayoiponya Tanzania

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Kuna watu wana tabia ya kupinga kila kitu hata kama ukweli unaonekana wazi watapinga tu. Mimi naamini hiki ninachokiongea ni ukweli usiopingika.Uvumilivu wa wapinzani ndio umeiponya Tanzania kutokuwa na machafuko hadi sasa, maana serikali ya CCM mara kwa mara wamekuwa wakifanya mambo mengi ambayo yangesababisha nchi kuingia kwenye machafuko makubwa kama si uvumilivu wa wapinzani.

Kwa bahati mbaya wanadhani kwamba kwa kuwa wanamiliki vyombo vya dola basi wanahaki ya kunyan'ganya haki za watu wengine wamesahau kwamba mwanadamu ni mwanadamu tu, hivyo vyombo vya dola wanavyojivunia siku moja

Vitawachoka. Kwa makusudi tumeona kila mahali wapinzani waliposhinda wamefanya hila eidha kunyan'ganya haki au kutaka kunyan'ganya. Mfano mzuri ni Tanga, Kilombero, Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini kama siyo uvumilivu wa wapinzani nchi ingekuwa imeingia kwenye machafuko.

Zanzibar CCM ilishindwa ila wanalazimisha tu na hao viongozi wanaojiita wapenda amani wamenyamaza wakati haki inaporwa. CCM wamekuwa wakitumia propaganda mbaya kwamba CUF ikishinda wakristo watafukuzwa Zanzibar, mimi ni mkristo siamini huo uchanganishi ukristo upo Saudia, Iraq na nchi ambazo zina utawala wa kiislamu

CCM mtakuja kujutia siku moja acheni kuchezea amani.
 
Mi nadhan hilo ni mojawapo ila kuna mambo mengine. Mfano uelewa wa wananchi katika haki zao (Elimu), hii hupelekea wananchi kufuata mkumbo na ni rahisi kudanganyika, eg Ukichagua upinzani kutatokea vita. Kingine ni waandishi wa habari, wanaripoti pasipo kuelimisha na kuchambua kwa fact kile wanachokiripoti, wanashindwa ukchallenge mambo madogo madogo, Mfano Issue ya zanzibar wote wanasema CCM inasema nini, Jecha kasema hili, Seif amesema hiki, pasipo kueleza undani wa katiba ya Zanzibar inasemaje? Nani mkweli na nani muongo? WAnashindwa kuhoji ni mambo gani hasa ZEC wameyatumia kama kisingizio cha kufuta uchaguzi? Jingine ni umaskini wa wasomi wetu, hawa watu wananchi wanawaamini na wanaamini wanayoyasema. Lakin kutokana na njaa zao wamageuka kuwa watumwa wa watawala. Hivyo hayo yote yanapelekea wananchi kutojua nini cha kufanya wanaishia kulalamia tu
 
KUNA WATU WANA TABIA YA KUPINGA KILA KITU HATA KAMA UKWELI UNAONEKANA WAZI WATAPINGA TU. MIMI NAAMINI HIKI NINACHOKIONGEA NI UKWELI USIOPINGIKA..UVUMILIVU WA WAPINZANI NDIO UMEIPONYA TANZANIA KUTOKUWA NA MACHAFUKO HADI SASA, MAANA SERIKALI YA CCM MARA KWA MARA WAMEKUWA WAKIFANYA MAMBO MENGI AMBAYO YANGESABABISHA NCHI KUINGIA KWENYE MACHAFUKO MAKUBWA KAMA SI UVUMILIVU WA WAPINZANI. KWA BAHATI MBAYA WANADHANI KWAMBA KWA KUWA WANAMILIKI VYOMBO VYA DOLA BASI WANAHAKI YA KUNYAN'GANYA HAKI ZA WATU WENGINE WAMESAHAU KWAMBA MWANADAMU NI MWANADAMU TU, HIVYO VYOMBO VYA DOLA WANAVYOJIVUNIA SIKU MOJA
VITAWACHOKA. KWA MAKUSUDI TUMEONA KILA MAHALI WAPINZANI WALIPOSHINDA WAMEFANYA HILA EIDHA KUNYAN'GANYA HAKI AU KUTAKA KUNYAN'GANYA. MFANO MZURI NI TANGA, KILOMBERO,DAR ES SALAAM NA MAENEO MBALIMBALI NCHINI KAMA SIYO UVUMILIVU WA WAPINZANI NCHI INGEKUWA IMEINGIA KWENYE MACHAFUKO..ZANZIBAR CCM ILISHINDWA ILA WANALAZIMISHA TU NA HAO VIONGOZI WANAOJIITA WAPENDA AMANI WAMENYAMAZA WAKATI HAKI INAPORWA.CCM WAMEKUWA WAKITUMIA PROPAGANDA MBAYA KWAMBA CUF IKISHINDA WAKRISTO WATAFUKUZWA ZANZIBAR,MIMI NI MKRISTO SIAMINI HUO UCHANGANISHI UKRISTO UPO SAUDIA,IRAQ NA NCHI AMBAZO ZINA UTAWALA WA KIISLAMU
CCM MTAKUJA KUJUTIA SIKU MOJA ACHENI KUCHEZEA AMANI.

Amini nakwambia bila uvumilivu wa upinzani sasa hivi tungeshaingia kwenye historia nyingine kabisa mkuu,uliyosema nayaunga mkono 100%
 
KUNA WATU WANA TABIA YA KUPINGA KILA KITU HATA KAMA UKWELI UNAONEKANA WAZI WATAPINGA TU. MIMI NAAMINI HIKI NINACHOKIONGEA NI UKWELI USIOPINGIKA..UVUMILIVU WA WAPINZANI NDIO UMEIPONYA TANZANIA KUTOKUWA NA MACHAFUKO HADI SASA, MAANA SERIKALI YA CCM MARA KWA MARA WAMEKUWA WAKIFANYA MAMBO MENGI AMBAYO YANGESABABISHA NCHI KUINGIA KWENYE MACHAFUKO MAKUBWA KAMA SI UVUMILIVU WA WAPINZANI. KWA BAHATI MBAYA WANADHANI KWAMBA KWA KUWA WANAMILIKI VYOMBO VYA DOLA BASI WANAHAKI YA KUNYAN'GANYA HAKI ZA WATU WENGINE WAMESAHAU KWAMBA MWANADAMU NI MWANADAMU TU, HIVYO VYOMBO VYA DOLA WANAVYOJIVUNIA SIKU MOJA
VITAWACHOKA. KWA MAKUSUDI TUMEONA KILA MAHALI WAPINZANI WALIPOSHINDA WAMEFANYA HILA EIDHA KUNYAN'GANYA HAKI AU KUTAKA KUNYAN'GANYA. MFANO MZURI NI TANGA, KILOMBERO,DAR ES SALAAM NA MAENEO MBALIMBALI NCHINI KAMA SIYO UVUMILIVU WA WAPINZANI NCHI INGEKUWA IMEINGIA KWENYE MACHAFUKO..ZANZIBAR CCM ILISHINDWA ILA WANALAZIMISHA TU NA HAO VIONGOZI WANAOJIITA WAPENDA AMANI WAMENYAMAZA WAKATI HAKI INAPORWA.CCM WAMEKUWA WAKITUMIA PROPAGANDA MBAYA KWAMBA CUF IKISHINDA WAKRISTO WATAFUKUZWA ZANZIBAR,MIMI NI MKRISTO SIAMINI HUO UCHANGANISHI UKRISTO UPO SAUDIA,IRAQ NA NCHI AMBAZO ZINA UTAWALA WA KIISLAMU
CCM MTAKUJA KUJUTIA SIKU MOJA ACHENI KUCHEZEA AMANI.

SIDHANI KAMA UMEFANYA UTAFITI WA KUTOSHA USINGEKUJA NA JIBU MOJA KAMA HILI, AMANI YA NCHI HII NI ZAIDI YA HILI UNALOLIFIKIRIA, FIKIRIA INTELIJENSIA YA NCHI HII ISINGEGUNDUA KUWA KUNA WAGENI WAMEKODIWA NA UPINZANI KUJA KUVURUGA UCHAGUZI HUU KWA KUTENGENEZA TAKWIMU ZA KUPIKA INGALIKUWAJE? FIKIRIA KAMA SERIKALI INGETUMIA JAZIBA YA KUPAMBANA NA MAALIM SEIF BAADA YA KUJITANGAZA MSHINDI NCHI INGALIKUWAJE?

LAKINI PIA UTAMBUE WANANCHI WALIOWENGI WAMEPATA PICHA YA AINA YA UPINZANI WA NCHI HII, KUWA ASILIMIA KUBWA NI WANAFIKI, WAPIKA MAJUNGU WENYE TAMAA TU YA MADARAKA, WANANCHI WAMEKATAA KUENDELEA KUTUMIWA NA WANASIASA KAMA NGAZI YA KUPATIA MADARAKA. HAWAANDAMANISHWI TENA WALA SI RAHISI KUWAINGIZA KATIKA VURUGU. CHUKULIA MFANO MAALIM SEIF ALIPOJITANGAZIA TU USHINDI WOTE WALIJIFUNGIA NDANI, SHUGHULI ZOTE ZA KIJAMII ZILISIMAMA WAONE ANACHOTAKA KUFANYA. ULIVYOFUTWA UCHAGUZI SHUGULI ZIKARREJEA KAMA KAWAIDA MAANA YAKE WANANCHI WALIAMINI USALAMA UPO. KADHARIKA HUKU BARA UHUNI ULIOFANYWA NA WAPINZANI KUJARIBU KUHADAA WANANCHI KUTWAA MADARAKA KUPITIA UMOJA FEKI WA UKAWA UMEFANYA WAJUE UDHAIFU WAO. LEO HII WALE WALIOJIDAI KUHAMA VYAMA MBALIMBALI KWENDA KUTAFUTA MADARAKA KUPITIA UKAWA WAMEINGIA MITINI. LEO BABU DUNI HAJULIKANI YUPO CHADEMA AU YUPO CUF.

KUNA HILI LA UPINZANI KUIACHA AJENDA YAO UFISADI SI DOGO, WAMEACHIA KAMBA MUHIMU YA KUWAEPUKA KUANGUKA NA HAWAWEZI KUISHIKA TENA KAMA MAFISADI WALIOHAMIA UPINZANI WATAENDELEA KUWAKUMBATIA. HATA JUHUDI ZAO ZA KUFUFUA ESCROW HAZITA WAFIKISHA POPOTE, RAIS NA SERIKALI ILISHATOA MSIMAMO WAKE BUNGE LILILOPITA PESA ILE HAIKUWA YA UMMA, KOSA KUBWA KATIKA SAKATA LA ESCROW NI KUTOLEWA PESA BILA KUFUATA TARATIBU ZA MAPATO (KODI) YA UMMA, LAKINI PESA ILE ILIKUWA NA MWENYEWE.

KUNA MENGI AMBAYO UKIFANYIKA UTAFITI WA KUTOSHA UTAGUNDUA AMANI YA NCHI HII SI TU KWA WAPINZANI KUTULIA BALI WAPINZANI KUBANWA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NA KUKOSA AJENDA ZA KUSIMAMIA
 
Mi nadhan hilo ni mojawapo ila kuna mambo mengine. Mfano uelewa wa wananchi katika haki zao (Elimu), hii hupelekea wananchi kufuata mkumbo na ni rahisi kudanganyika, eg Ukichagua upinzani kutatokea vita. Kingine ni waandishi wa habari, wanaripoti pasipo kuelimisha na kuchambua kwa fact kile wanachokiripoti, wanashindwa ukchallenge mambo madogo madogo, Mfano Issue ya zanzibar wote wanasema CCM inasema nini, Jecha kasema hili, Seif amesema hiki, pasipo kueleza undani wa katiba ya Zanzibar inasemaje? Nani mkweli na nani muongo? WAnashindwa kuhoji ni mambo gani hasa ZEC wameyatumia kama kisingizio cha kufuta uchaguzi? Jingine ni umaskini wa wasomi wetu, hawa watu wananchi wanawaamini na wanaamini wanayoyasema. Lakin kutokana na njaa zao wamageuka kuwa watumwa wa watawala. Hivyo hayo yote yanapelekea wananchi kutojua nini cha kufanya wanaishia kulalamia tu
Wahandishi wa habari walio wengi wa Tanzania ni tatizo kubwa sana, umeongea kitu cha maana sana, most of them ni wajasilia mali tuu na wanapenda kujipendekeza kwa wanasiasa. Wahandishi wengi wa habari hawawezi kufanya personal research, huwa wana copy na kupest tuu we angalia hata uwezo wao wa kuuliza maswali. Ni Tanzania pekee wahandishi wa habari huwa wanaonyesha ushabiki nje nje kwa wanasiasa fulani during press conference.
 
KUNA WATU WANA TABIA YA KUPINGA KILA KITU HATA KAMA UKWELI UNAONEKANA WAZI WATAPINGA TU. MIMI NAAMINI HIKI NINACHOKIONGEA NI UKWELI USIOPINGIKA..UVUMILIVU WA WAPINZANI NDIO UMEIPONYA TANZANIA KUTOKUWA NA MACHAFUKO HADI SASA, MAANA SERIKALI YA CCM MARA KWA MARA WAMEKUWA WAKIFANYA MAMBO MENGI AMBAYO YANGESABABISHA NCHI KUINGIA KWENYE MACHAFUKO MAKUBWA KAMA SI UVUMILIVU WA WAPINZANI. KWA BAHATI MBAYA WANADHANI KWAMBA KWA KUWA WANAMILIKI VYOMBO VYA DOLA BASI WANAHAKI YA KUNYAN'GANYA HAKI ZA WATU WENGINE WAMESAHAU KWAMBA MWANADAMU NI MWANADAMU TU, HIVYO VYOMBO VYA DOLA WANAVYOJIVUNIA SIKU MOJA
VITAWACHOKA. KWA MAKUSUDI TUMEONA KILA MAHALI WAPINZANI WALIPOSHINDA WAMEFANYA HILA EIDHA KUNYAN'GANYA HAKI AU KUTAKA KUNYAN'GANYA. MFANO MZURI NI TANGA, KILOMBERO,DAR ES SALAAM NA MAENEO MBALIMBALI NCHINI KAMA SIYO UVUMILIVU WA WAPINZANI NCHI INGEKUWA IMEINGIA KWENYE MACHAFUKO..ZANZIBAR CCM ILISHINDWA ILA WANALAZIMISHA TU NA HAO VIONGOZI WANAOJIITA WAPENDA AMANI WAMENYAMAZA WAKATI HAKI INAPORWA.CCM WAMEKUWA WAKITUMIA PROPAGANDA MBAYA KWAMBA CUF IKISHINDA WAKRISTO WATAFUKUZWA ZANZIBAR,MIMI NI MKRISTO SIAMINI HUO UCHANGANISHI UKRISTO UPO SAUDIA,IRAQ NA NCHI AMBAZO ZINA UTAWALA WA KIISLAMU
CCM MTAKUJA KUJUTIA SIKU MOJA ACHENI KUCHEZEA AMANI.

Just imagine mtu kama Lowassa angekosa hekima, au kinachoendelea Zanzibar now, na ni wazi wapinzani wanakuwa wavumilivu cse they think out of box than ruling part. Na ile kuwa na nguvu dola inawapa kiburi sana. Mtu kama shein nilikuwa namuona mstaarabu sana ila kwa sasa no
 
Ni uoga tu... Watu mtaani wanamind sana Sema rumande inawaogopesha raia. Kingine hatuna access ya kupata weapons otherwise yangekua mengine #mpinzanisinceembryo
 
Kuna watu wana tabia ya kupinga kila kitu hata kama ukweli unaonekana wazi watapinga tu. Mimi naamini hiki ninachokiongea ni ukweli usiopingika.Uvumilivu wa wapinzani ndio umeiponya Tanzania kutokuwa na machafuko hadi sasa, maana serikali ya CCM mara kwa mara wamekuwa wakifanya mambo mengi ambayo yangesababisha nchi kuingia kwenye machafuko makubwa kama si uvumilivu wa wapinzani.

Kwa bahati mbaya wanadhani kwamba kwa kuwa wanamiliki vyombo vya dola basi wanahaki ya kunyan'ganya haki za watu wengine wamesahau kwamba mwanadamu ni mwanadamu tu, hivyo vyombo vya dola wanavyojivunia siku moja

Vitawachoka. Kwa makusudi tumeona kila mahali wapinzani waliposhinda wamefanya hila eidha kunyan'ganya haki au kutaka kunyan'ganya. Mfano mzuri ni Tanga, Kilombero, Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini kama siyo uvumilivu wa wapinzani nchi ingekuwa imeingia kwenye machafuko.

Zanzibar CCM ilishindwa ila wanalazimisha tu na hao viongozi wanaojiita wapenda amani wamenyamaza wakati haki inaporwa. CCM wamekuwa wakitumia propaganda mbaya kwamba CUF ikishinda wakristo watafukuzwa Zanzibar, mimi ni mkristo siamini huo uchanganishi ukristo upo Saudia, Iraq na nchi ambazo zina utawala wa kiislamu

CCM mtakuja kujutia siku moja acheni kuchezea amani.
kuna kila dalili za umwagaji damu Zanzibar,wanachokosea viongozi wa ccm ni kuona kwamba,damu itakayomwagika zanzibar ni ya wana VUF peke yake
 
SIDHANI KAMA UMEFANYA UTAFITI WA KUTOSHA USINGEKUJA NA JIBU MOJA KAMA HILI, AMANI YA NCHI HII NI ZAIDI YA HILI UNALOLIFIKIRIA, FIKIRIA INTELIJENSIA YA NCHI HII ISINGEGUNDUA KUWA KUNA WAGENI WAMEKODIWA NA UPINZANI KUJA KUVURUGA UCHAGUZI HUU KWA KUTENGENEZA TAKWIMU ZA KUPIKA INGALIKUWAJE? FIKIRIA KAMA SERIKALI INGETUMIA JAZIBA YA KUPAMBANA NA MAALIM SEIF BAADA YA KUJITANGAZA MSHINDI NCHI INGALIKUWAJE?

LAKINI PIA UTAMBUE WANANCHI WALIOWENGI WAMEPATA PICHA YA AINA YA UPINZANI WA NCHI HII, KUWA ASILIMIA KUBWA NI WANAFIKI, WAPIKA MAJUNGU WENYE TAMAA TU YA MADARAKA, WANANCHI WAMEKATAA KUENDELEA KUTUMIWA NA WANASIASA KAMA NGAZI YA KUPATIA MADARAKA. HAWAANDAMANISHWI TENA WALA SI RAHISI KUWAINGIZA KATIKA VURUGU. CHUKULIA MFANO MAALIM SEIF ALIPOJITANGAZIA TU USHINDI WOTE WALIJIFUNGIA NDANI, SHUGHULI ZOTE ZA KIJAMII ZILISIMAMA WAONE ANACHOTAKA KUFANYA. ULIVYOFUTWA UCHAGUZI SHUGULI ZIKARREJEA KAMA KAWAIDA MAANA YAKE WANANCHI WALIAMINI USALAMA UPO. KADHARIKA HUKU BARA UHUNI ULIOFANYWA NA WAPINZANI KUJARIBU KUHADAA WANANCHI KUTWAA MADARAKA KUPITIA UMOJA FEKI WA UKAWA UMEFANYA WAJUE UDHAIFU WAO. LEO HII WALE WALIOJIDAI KUHAMA VYAMA MBALIMBALI KWENDA KUTAFUTA MADARAKA KUPITIA UKAWA WAMEINGIA MITINI. LEO BABU DUNI HAJULIKANI YUPO CHADEMA AU YUPO CUF.

KUNA HILI LA UPINZANI KUIACHA AJENDA YAO UFISADI SI DOGO, WAMEACHIA KAMBA MUHIMU YA KUWAEPUKA KUANGUKA NA HAWAWEZI KUISHIKA TENA KAMA MAFISADI WALIOHAMIA UPINZANI WATAENDELEA KUWAKUMBATIA. HATA JUHUDI ZAO ZA KUFUFUA ESCROW HAZITA WAFIKISHA POPOTE, RAIS NA SERIKALI ILISHATOA MSIMAMO WAKE BUNGE LILILOPITA PESA ILE HAIKUWA YA UMMA, KOSA KUBWA KATIKA SAKATA LA ESCROW NI KUTOLEWA PESA BILA KUFUATA TARATIBU ZA MAPATO (KODI) YA UMMA, LAKINI PESA ILE ILIKUWA NA MWENYEWE.

KUNA MENGI AMBAYO UKIFANYIKA UTAFITI WA KUTOSHA UTAGUNDUA AMANI YA NCHI HII SI TU KWA WAPINZANI KUTULIA BALI WAPINZANI KUBANWA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NA KUKOSA AJENDA ZA KUSIMAMIA
uko sahihi kabisa...
 
You are very true mleta mada, hata maendeleo kdg tuliyo nayo ni kwa sababu ya kelele za wapinzani na huu utabakia kuwa ukweli!
 
HUO UONGO UNAOTAKA KUWADANGANYA WATOTO.. INTELEJENSIA IMEGUNDUA WAPINZANI WAMEINGIZA WATU KUJA KUVURUGA AMANI HIZO NIMPROPAGANDA ZA KITOTO ZA WAKINA MAHITA KUTANGAZA KWENYE TV KWAMBA CUF WAMEINGIZA MAKONTENA YA MAJAMBIA HAZINA NAFASI KABISA...KUSEMA KWAMBA WAPINZANI WAMEACHA AGENDA YAO YA UFISADI PIA NI KUWAZA NDANI YA BOX KWANI UNATAKA WAPINZANI WAWE NA AGANDA MOJA TU? NA HATA WALIPIKUWA NA HIYO AGANDA YA UFISADI MLICHUKUWA HATUA GANI ACHA PROPAGANDA ZISIZO NA MAANA
HIVI UNAPOTAKA NIFANYE UTAFITI NI UPI HUO? KWANI HUJUI KUWANYAN'GANYA CUF USHINDI WAO ZANZIBAR KUNAWAWEZA KULETA MACHAFUKO UNATAKA NIFANYE UTAFITI? KUWADHULUMU UKAWA USHINDI WAO PALE TANGA UNAHITAJI UTAFITI? KUTAKA KUDHULUMU USHINDI WA WAPINZANI PALE KILOMBERO NA KUMDHALILISHA MBUNGE HIVI KUNAHITAJI UTAFITI HIVI UMEELEWA TOPIC? HIVI HUAMINI KWAMBA WAPINZANI WAKIAMUA KUPAMBANA NA DHULUMA WANAYOFANYIWA NCHI INAWEZA KUCHAFUKA? WEWE UMEKURUPUKA RAFIKI UTETEZI WAKO HAUNA MSINGI KABISA AU UELEWA WAKO UMESHAMEZWA NA DHULUMA MAANA DHULUMA UMEZA UFAHAMU WA MWANADAMU
 
Kuna watu wana tabia ya kupinga kila kitu hata kama ukweli unaonekana wazi watapinga tu. Mimi naamini hiki ninachokiongea ni ukweli usiopingika.Uvumilivu wa wapinzani ndio umeiponya Tanzania kutokuwa na machafuko hadi sasa, maana serikali ya CCM mara kwa mara wamekuwa wakifanya mambo mengi ambayo yangesababisha nchi kuingia kwenye machafuko makubwa kama si uvumilivu wa wapinzani.

Kwa bahati mbaya wanadhani kwamba kwa kuwa wanamiliki vyombo vya dola basi wanahaki ya kunyan'ganya haki za watu wengine wamesahau kwamba mwanadamu ni mwanadamu tu, hivyo vyombo vya dola wanavyojivunia siku moja

Vitawachoka. Kwa makusudi tumeona kila mahali wapinzani waliposhinda wamefanya hila eidha kunyan'ganya haki au kutaka kunyan'ganya. Mfano mzuri ni Tanga, Kilombero, Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini kama siyo uvumilivu wa wapinzani nchi ingekuwa imeingia kwenye machafuko.

Zanzibar CCM ilishindwa ila wanalazimisha tu na hao viongozi wanaojiita wapenda amani wamenyamaza wakati haki inaporwa. CCM wamekuwa wakitumia propaganda mbaya kwamba CUF ikishinda wakristo watafukuzwa Zanzibar, mimi ni mkristo siamini huo uchanganishi ukristo upo Saudia, Iraq na nchi ambazo zina utawala wa kiislamu

CCM mtakuja kujutia siku moja acheni kuchezea amani.

Mimi naona hivi: 1) Kuna watu wanaosifia kila kitu 2) kuna watu wanaopinga kila kitu 3) kuna watu wanaoweza kusifia wakiona kitu kizuri kinatendeka 4) kuna watu wanaoweza kukosoa wakiona kitu fulani kinatakiwa kuboreshwa au kufanywa tofauti. Wengi wetu kwa sababu ya kukosa critical thinking tunaona tu ubaya wa wale wanaokosowa na hatuoni kabisa ubaya wa wale wanaosifia kila kitu hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kwangu mimi, it's a shame!
 
Back
Top Bottom