Ni ushauri upi mke akikupa hutaukubali


Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,198
Points
2,000
Age
40
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,198 2,000
Mfano umeoa umetoka honeymoon mke anakwambia mumewangu unaonaje uvamie benki upore pesa na sisi tuwe matajiri.

Utamjibuje
 
corasco

corasco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2016
Messages
2,918
Points
2,000
Age
49
corasco

corasco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2016
2,918 2,000
aende yeye armed robbery mchezo 30 yrs kma manfongo
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
8,244
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
8,244 2,000
Namwambia twende wote.
 
ichenjezya

ichenjezya

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
973
Points
1,000
ichenjezya

ichenjezya

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2013
973 1,000
Ushauri wa mke ni wakuufanyia sana tathimini kabla hujatenda...most of them wana tamaa sana,ndio wanasababisha wanaume wanaingia kwenye risk business ili kuwaridhisha,kama umeoa mke anakushauri kuingia katika mishe ambazo ni risk huyo ni wa kuangaliwa mara mbili....
 
I

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
1,964
Points
2,000
I

iMind

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
1,964 2,000
Ushauri wowote ambao baada ya kuufanyia tathimini nitaona hautekekezeki au hautaleta tija nitaukataa. Siyo kutoka tu kwa mke wangu, bali kutoka kwa mtu yeyote yule
 
king mbappe

king mbappe

Senior Member
Joined
Jul 26, 2018
Messages
110
Points
225
king mbappe

king mbappe

Senior Member
Joined Jul 26, 2018
110 225
sometimes relationships are hard because we fall in love with women who have sense of humor and we are serious as hell.
 
mpatto

mpatto

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
578
Points
1,000
mpatto

mpatto

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
578 1,000

Forum statistics

Threads 1,295,677
Members 498,336
Posts 31,219,350
Top