Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,039
- 2,190
Mahaba nitetemeshe kama shoti.....
Hakuna anaelia kila cku ila wapo wanaolia kila Mara!
hapa umenigusa me namash,ila kwa sasa nimepoa nimenyamaza machozi yamenikauka.
What happened luv
Unaikumbuka mada yangu ya kutendwa gwijimimi?Kifupi nilikutana na mtoto wa mama nikafika kweli na tulipanga mambo mengi yahusuyo ndoa.lakini hata dharau zilipotoka na kunikejeri kwa sana sijui wapi nilishalia kwa sasa nimenyamaza na ck zinakwenda!Ukijua ukweli wa jambo lolote lile raha sana!
Mmmh hapana luv
To be honest am curious to knw
U mean u ddnt know kama ni mtoto Wa mama before?
So all the decision anazifanya mama yake n not him?
Weweee..hahaaaa, utakua mtoto wa king mswati.Mahaba nitetemeshe kama shoti.....
Wagombanao ndio wapatanao,leo kilio kesho kicheko na tabasamu maisha yanasonga.
Hakuna mua usokuwa na kifundo.
Ndo nishafanya tiyari maamuzi,naa amani telee hadi inamwagikia yanii...
Nano anataka nimgaiee?
mahaba yaniue....
mahaba yanipoteze kma ndege ya malyasi....
yaniuruge tuu kama bunge la katiba ......
chezea utamu ......yatak moyo kuacha eti
Mimiiii
daka hyooooo....
Hehehehhe wanasema ya nn kufa na utamu wako kama mua?hahaha
neno kuacha kwangu ni ngumu kidogo itachukua mda.....hakuna aliyekamilika kila mtu ana madhaifu yake so utatembea na wangapi ili kila siku iwe tambarare ule raha tuuu??
kwenye mpenzi kuna vipindi vyote kama majira ya mwaka...masika,vuli,kiangazi
kumbuka mapenzi sio static ni dynamic yanaadilka mda wowote na inakupasa uwe mvumilivu mkuu