Ni ushamba au ujinga? Naombeni kujua

Ni ushamba au ujinga? Naombeni kujua

Hahahaa nmecheka kwa sauti mpaka nmeamsha majirani lol!eti "hata mimi nmeshangaa"!!!!
hata mimi nimeshangaa kwa kweli..!

kila nilipokuwa najitahidi kusoma, utility ilikuwa inazidi kushuka tu!

tatizo si vyuo... tatizo ni wana vyuo!
 
==> Huyu ni FORM 4 Div. 0 ya Mulugo huyu....she said kamaliza chuo kizuri tu...hata chuo hakijui huyu...

....Blal full....0 kabisa huyuu.....

eti kamaliza chuo kizuri, wajua vyuo vya kata kibao sasa ....
 
==> Huyu ni FORM 4 Div. 0 ya Mulugo huyu....she said kamaliza chuo kizuri tu...hata chuo hakijui huyu...

....Blal full....0 kabisa huyuu.....

mmmmmmmm!!! Apo sisemi saaana coz kichwa changu nakijua na hata hakuna level nlopitia kwa kubabaisha au kubahatisha! Ata usiangaike kumjaji m2 humu ktk uandishi wake
 
Heri ya mwaka mpya wanajamvi! Ni mara ya kwanza najitokeza kwenu nikiwa na shida ya kutaka kujua hili: nilikuwa na mchumba/mpenzi 2liyeishi nae muda mrefu 2kiwa na malengo likiwemo la kuish pamoja, ila kilichokuwa kikinishangaza ni pale ilipokuwa inatokea utofauti kidogo kati yetu basi inakuwa tangazo kwa kila aliye na uwezo wa kumskiliza yaan anaongea kupita kiasi ata siri zisizofaa kusimlia anatoa kwa jirani, ndugu, jamaa, marafiki kubwa zaidi adi mama yake mzazi anamsimlia ata ambavyo havifai, mwanzoni nlimwambia sipendi tabia yake akasema amejirekebisha akapunguza ila sio sana, yeye akijiskia tu anaanzisha topic juu ya uhusiano wetu iwe 2navyoish, 2navyokosana, 2navyofanya mapenzi, 2navyolala,na vingne vingi. Tabia ile iliendelea kunikera adi nkajikuta namchukia sku adi sku ata ndoto ya kuish nae ikafutika ingawa yeye alikuwa amefikia hatua ya kutaka kwenda hom me nkawa namwambia avute kdogo coz wazaz hawatanielewa ukizingatia ndo namaliza ivi chuo ata kazi cjapata, kumbe me jibu nlompa akalianzishia topic kwao nikawa wa kujadiliwa wakamshauri me sifai, naye akafuata ushauri wa wazazi wake akaniambia nami nikaridhika na uamzi alochukua nikajiweka pembeni ata simu sipigi wala sibp, sasa nashangaa anavyonitangazia kwa marafiki mengi ya uzushi ambayo skuwai ata kuyaskia mara amenigharamia sana,mara cjui kunisomesha wakati huo ata nkiesabu ela alonipa ya kawaida tu km wapenz haiezi fika ata laki2 na nashukuru pia sina tamaa ya pesa ya m2 cha mhim ni mapenzi, kwa upande wangu amekuwa akiniandikia msg za vitisho mara nitamjua ye ni nani na hakuna ata 2lichokosana zaidi ya yeye kuskiliza ushauri wa wazaz na ndugu zake nami kujieka pembeni. Naombeni msaada wenu hapo

Una sap ngap?
 
eti kamaliza chuo kizuri, wajua vyuo vya kata kibao sasa ....

me nimeomba kushauriwa suala ata halihusiani na elimu yangu so kukaa kujaji elimu ni kazi bure, sijasoma shule ya kata ata moja wala chuo cjaenda kwa kubahatisha. Usilolijua litakusumbua tu.
 
hata mimi nimeshangaa kwa kweli..!

kila nilipokuwa najitahidi kusoma, utility ilikuwa inazidi kushuka tu!

tatizo si vyuo... tatizo ni wana vyuo!

Mkuu umeua! Amecheka had bac,eti utility ilikuwa inapungua.
 
Nawashukuru kwa ushauri wenu, penye makosa ntafanyia marekebisho ila isiwe chanzo cha kujaj uelewa wa mtu ktk elimu pengine sijazingatia coz stafuti marks au kazi hapa.
 
biti la chura we songa mbele binti huyo mvulana anamiaka mingapi? na kwa nn udeti na mtoto anayenukca mikojo wakati watu wenye heshima zetu tupo halafu miaka ya leo cio ya kutoleana vitisho kuweni watu wazima kama mtu hakutaki kula 50 zako why kulazimishana? e mi mnanoboa men
 
Nawashukuru kwa ushauri wenu, penye makosa ntafanyia marekebisho ila isiwe chanzo cha kujaj uelewa wa mtu ktk elimu pengine sijazingatia coz stafuti marks au kazi hapa.

duh una maneno kanga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
najua nimekosea ila icwe chanzo cha kujaj uelewa wangu ktk ile wizara bana nikosoeni ntarekebisha ila wengne wanavuka mipaka khaa!!

just jocking siku ziende usiku unakuwa mfupi! ukizoea jf mambo yanakuwa burudani best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom