momara
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 463
- 491
Naomba kujua ndugu zangu. Kuna mitungi mingi sana sokon o-gas, mihan, taifa, manjis, lake, oryx n.k
Kuna mtu kanambia oryx inakaa muda mrefu ila mingine kidogo tu umeisha gas, pia amelinganisha bei ya oryx na nyingine akisema ipo juu kwakuwa ni bora kuliko mitungi mingne.
Sasa nawauliza ndugu zangu apa uzoefu wenu kweny hii mitungi ni kwel kuwa oryx ni bora zaid ya mingne?