Ni uongo upi mkubwa zaidi umewahi kuambiwa?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,100
114,675
main-qimg-0a5c1d16b19373e2fc8fd85117735d42.jpg

Mimi wa kwangu ni huu hapo juu, naambiwa imebaki item 1 yenye 300MB, halafu time remaining 10,627days na 22hrs
Lete wa kwako
 
2Pac hakufa Na angerudi baada Ya 7 years -Don Kiluminati

Kuna red mushroom inaota Only in China na Japan - Organo Gold


Kuwa kuna secret society inaitwa Freemason

Mwisho wa dunia ungekuwa December 21 2012

Osama Bin Laden bado yu hai na hakufa

Daudi Balali yu hai na hajafa
 
Back
Top Bottom