BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,095
- 10,693
Tuongeze mashumbulizi dhidi ya umasikini.
I know sababu nishawahi kuexperience kulala chumba kimoja na watu wazima nikaupgrade nikaanza kulala sebuleni baadae kabisa nikawa na chumba changu binafsi nilishukuru sana maana kilikuja right on time maana ndio nilikuwa na balehe punyeto yangu ya kwanza nilipigia mule kimsingi ukuta ulichafuka shahawa si unajua tena bao la ujanani lilivyo na presha kama sprinkler za umwagiliaji.
Saa hivi imekuwa kawaida kwenye miji mingi kukuta baba, mama na watoto wakiishi room moja tena hiyo room imefanyiwa partion huku vyombo na ndoo zikiwa nyingi hilo sio tatizo maana kuishi kwenye space ndogo kunatengeneza bond nzuri maana most of the time mnakuwa mnaonana the real and only problem ni pale wakubwa wanapotaka kupunguzana protein.
Nyie mnasema duniani kuna fedhea lakini hakuna fedhea kubwa kama kuona hata kusikia wazazi wako wakichuana kwanza ni laana nyie hamshtuki mambo ambayo vijana wa saa hivi tunafanya.
Nyie nyie Ndio maana mie nikiona mama mjamzito mwenye maisha ya tia maji tia maji napatwa na huzuni sana lakini sina cha kufanya maana hata mimi nina watoto na tunaishi chumba kimoja kitanda size 4*6 na hapa nipo na wabembeleza walale nimpunguze mama yao protein.