mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,666
1) Unakula mlo mmoja kwa siku lakini unaenda salon kutengeneza nywele za bei mbaya!
2) Una gari la kifahari lakini unaishi nyumba ya kupanga na gari unaegesha viwanjani!
3) Una jumba kubwa unaishi wewe na mkeo/mmeo tu!
4) Una simu ya kisasa tena ya bei, kutwa unatuma ujumbe "tafadhali nipigie".
Yako mengi tunayafanya yenye maswali kadhaa.
TAFAKARI CHUKUA HATUA