Mkuu wa kaya alitoka juzi Lindi akashangiliwa. Akaamini kuwa anapendwa! Tumbuaaaa shangiliaaaaa.......Funny enough katika uchaguzi chama chake kimepata zero -uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa. Maana yake nini? Atathubutu kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi ?