Ni ujinga

Ni ujinga

Vodka

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
906
Reaction score
96
Ni ujinga kuwaka lamination kwenye atm card.
Ni ujinga kusema unakwenda kula bata wakati unampango wa kula kuku na bia.
Ni ujinga endeleaa....:der:
 
ni ujinga kurudia thread ya ni ujinga halafu hata comment zikafanana.
 
ni ujinga kuuita utani ujinga hata kama umerudiwa,:A S angry:
 
Ni ujinga kuwaka lamination kwenye atm card.
Ni ujinga kusema unakwenda kula bata wakati unampango wa kula kuku na bia.
Ni ujinga endeleaa....:der:

ku-like kila comment kwenye post uloianzisha wewe
 
Ujinga kumwambia konda shusha na umekaa na dreva

ujinga ni kuosha sabuni

ujinga ni kuvaa miwani ya jua ucku
 
Back
Top Bottom