aaronb
Member
- Oct 23, 2013
- 6
- 1
Mtoto hurithi njia na mienendo ya baba yake!! baba akiwa mlevi mtoto nae akija kuwa mlevi dunia huwa haistaajabu husema karithi damu ya baba yake!
na baba akiwa mtu wa busara na familia akatokea mtoto ambae c mstarabu dunia hushangaa huyu mtoto karithi kutoka kwa nan maana ile sio damu ya baba yake!!!! ulimwengu hustajabu na kushangaa sana!!
Baba akiwa mfugaji mkubwa hivyo hivyo mtoto wake atafuata nyayo za baba yake kuwa mfugaji kuendeleza asili yake maana toka anazaliwa ni anaona mifugo na jinsi inavyofugwa. (kutafutiwa malisho na maji)
Ni ukosefu wa fikra pambanuzi kulaumu au kulalamika eti nchi hii uongoz niwa kifalme hapana tena big no!!!! angalia asili ya watu wenye busara na hekima duniani kote au katika nchi yetu au jamii ikuzungukayo utakuta watu hao wanatoka katika familia ambazo wazazi wao ni watu wenye tabia hizo na ndio zilizowapelekea watoto wao leo kuheshimika kwa busara na hekima zao...
Hongera sana ridhiwan kikwete ni iman yangu miiko ya uongozi hukujifunza ukubwan ni ulikua unairth toka utoton had leo ipo damun!
uongozi ni sifa na sifa unazo