Mkuu tumegee ubuyu kidogo inaonekana ushapata idea
Mimi bado sijaelewa
Mkuu umeua gemuNajaribu kuwaza kuwa:
Tofauti kati ya mwaka 1900 na 2016 (Mwaka huu) ni 116. Probably Kizazi cha sasa kwa sehem kubwa kimo ndani ya umri huu (Miaka 116). Hii ndiyo 66 na 50. Hivyo basi, ukitoa umri wako (Mf: 20yrs ni 116 - 20 = 96). Habari za Biblia na vitabu 66 na hiyo 50 ni ubabaishaji. Nasema ni ubabaishaji maana ifikapo mwaka 2017 hii kanuni haitafanya kazi.
Ni mtazamo tu
Hahahaha kama yangu mkuu50 imetoka wapi? namba nyingi tu zaweza kukaa popote kama zitapata kijumlisho sahihi!
Anyway Biblia yangu ina vitabu 72!!!
Kanuni zipo nyingi tu, ila hiyo ya biblia ndiyo ya kwanza kugundua huu mchezo ila hiyo 50 hawajatuambia imetokea wapi, ila hiyo ya kwako ipo makini zaid.... BG up masta..Najaribu kuwaza kuwa: