Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Huwezi toka malezi ya CCM ukawa mwadilifu! Sita angelikuwa mwadilifu asingeliamua kuendelea na bunge la katiba wakati kuna mgogoro ambao kwa kiwango kikubwa ameuleta yeye kwa ku-mismanage bunge
Uadilifu ndani ya CCM ni kitu adimu sana.
 
Mkuu sitta ni walewale, mwezi ujao anakwenda kuhalalisha kulipa posho wajumbe wa bunge la katiba kwa mipasho, kejeli, matusi na uchakachuaji maoni ya wananchi. Pia ni sitta huyuhuyu ndiye aliyelazimisha ofisi ya spika ikajengwe kwao urambo, pia ni sitta huyuhuyu aliyelazimisha kuendelea kuishi nyumba ya spika wakati yeye sio spika. 6 ni fisadi kama mafisadi wengine tu!
 
JF Data Bank ni kiboko... Moral Authority ya Kukemea maovu huyu Sitta anaipata wapi?...mbona hajawahi kukanusha mpaka sasa?... No wonder kuna matumizi ya hovyo sana BMK ...
 
huwezi toka malezi ya ccm ukawa mwadilifu! Sita angelikuwa mwadilifu asingeliamua kuendelea na bunge la katiba wakati kuna mgogoro ambao kwa kiwango kikubwa ameuleta yeye kwa ku-mismanage bunge

hana pa kutokea,anapita katika kipindi kigumu kisiasa ambacho lazima kitamdondosha na hatafufuka tena
 
Mwambie Zitto atujuze habari za kutupwa kadi za ACT katika ofisi ya CHADEMA kule Mbeya
 

Lisemwalo lipo, kwanini tuhuma zote hizi zielekezwe kwake? na kwa issues tofauti? kwa nini zisiletwe kwa Lukuvi? ingieni kazini mjionee zaidi na zaidi mtagundua tu
 



Acha umburula,kuna miiko ya uongozi unaifahamu?au wewe ndio walewale!
Nimewahi kuweka wazi uzi wa ufisadi wa huyu Samwel Sitta lakini uzi huo uliondolewa faster,kilichonisukuma kufanya hivyo ni jinsi anavyo wahadaa watanzania na kuwaibia kodi yao ingali yeye ni mzee wa kanisa katika usharika wetu wa Kinondoni. Akiwa kanisani anajiweka mbelembele sana,nakumbuka sikukuu moja ya mavuno alileta ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa kama mavuno yake basi akatokea jamaa mmoja alipanda naye dau katika mnada kiasi kwamba watu wakagundua hakuwa na nia ya kumtoa sadaka bali ni ubishoo aliokuwa nao,alitokea kumchukia sana yule jamaa aliyeyaka kumnunua huyo ng'ombe na hatimaye alirudi naye nyumbani.
Huyu mzee ana vimada wa kutosha tu,namsikitikia mke wake wa ndoa ana uvumilivu usio kifani,Sitta na Mengi wa IPP wanafanya ufuska kwa kutumia fadha zao na kwa kuona umasikini wa wanawake wa kitanzania.Nimewahi kushuhudia wote kwa pamoja wakiogelea nyumbani kwa Mengi wakiwa na watoto wadogo chini ya miaka 18 na ndio maana wote wameshindwa kuishi na ndoa zao.
Huwa nakumbuka maneno ya Prof. Kabudi aliposema wazanzibari mambo yao huyaweka hadharani yakazungumzwa lakini anawaogopa sana watanganyika ambao mambo yetu huyaweka moyoni kiasi kwamba siku moto ukiwaka hakuna wa kuuzima. Tunajua mambo na uchafu mwingi unaofanywa na viongozi serikalini.Tunajua wazi pia kikwazo kikubwa cha katiba mpya kinasabaishwa na wao kwani wanajua wazi rasimu iliyopendekezwa na wananchi ikipita itawaweka katika wakati mgumu sana.
Hayo ni baadhi tu ya madhambi ya viongozi serikalini,kila mmoja aliyepo humo ana madhambi ambayo yameathiri maisha bora ya mtanzania kwa namna moja au nyingine. Kuliko haya mawazo sahihi ya wananchi yakapuuzwa ni bora liwalo na liwe,tumechoshwa na ulafi wa mali ya umma unaofanywa na viongozi serikalini. Hii katiba hata ikichelewa ni bora ikaja kuwafaa watoto wetu wakakaa kwa amani na kuheshimiana sio kama hivi sasa.NAWASILISHA.
 
Sasa naamini ndani ya chama cha Mashupaa hakuna msafi!!
Nahc 6 ameingia kichwa kwny mtego Wa ma mvi na amenasa!!!
 
lazima ajadiliwe kama kiongozi ,wewe mheshimiwa zitto nathani umechoka kufikiri kama zamani,inakuwaje kiongozi mkuu anasemwa kuwa anafanya mambo ya hovyo unamtetea bila kupata proof unasema watu wamuachee? how ?and transparency ndo nini kwenu?
 
Ok,umewasilisha na umesomeka
 
Sitta ni mnafiki, kwa ufisadi anatisha sana tu, kwa sasa anatumia bunge la katiba kujinufaisha.
 
na kesho anapewa nishani ya uhuru na JK

Only in Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…