Ni uchovu?!?

Ni uchovu?!?

Pole ila kumbuka akianza kupata mashamsham nje ya ndoa usije tena kutuomba ushauri.

Sikutaka kufika huko, lakini inaweza kuwa ndo safari.
Wanajamvi wawe tu tayari kama hili likija asaidiwe dada Solarpanel
 
Last edited by a moderator:
mh! hii inahitaji wenye ndoa,mie simo!
nenda kule
forum_new-48.png
[h=2]Love Connect[/h]
, ukipata rudi
 
Asante mkuu,nimeajiriwa,natoka nyumban saa moja narudi kumi na moja.
Pole kwa uchovu
Andaa ratiba nzuri kuanzia asubuhi mpaka jioni na kila jambo ulitengee muda wake
Jitahidi utimize mahitaji ya ndoa usije m'boa mwenzio
 
Mimi sio kibonge hata kidogo,mwanzoni hyo unayosema asubuhi ilikuwa kawaida lakin siku hizi ndio siwez ni kulala tu mpaka alam ya saa kumi na mbili ndio naamka
Obvious utakua mwili umekuelemea,yani wewe ni kibonge!fanya mazoezi au kama vipi mapenzi hayana formula msikariri,jaribuni kutofanya mapenzi kwa mazoea kwamba eti lazima iwe muda wa kulala,mnaweza fanya asubuhi before hamjaanza maandalizi ya job,kila mtu ataenjoy!
 
Sasa soul food si ndo inaondoa uchovu mamii? Ukimaliza hapo unalala kama bebii!
 
tena mwanaume akiwa mpole ndio anakuwa unpredictable itafikia mahali haulizi kuhusu hio kitu saa hizo anapiga kimya kimya tu lol

ushauri wangu badilisha mazingira ya kufanyia,,,,,nendeni hata nje ya mji once ....,pia jaribu kumuona daktari nahisi utakuwa una hormonal imbalances
 
  • Thanks
Reactions: BAK
tena mwanaume akiwa mpole ndio anakuwa unpredictable itafikia mahali haulizi kuhusu hio kitu saa hizo anapiga kimya kimya tu lol

,pia jaribu kumuona daktari nahisi utakuwa una hormonal imbalances
Ndo swali nililomuuliza mwanzo.
Akajiproud kuwa na mume mpole, anayejitahidi kuelewa.
Ni hatari
Huko kuelewa kwake we kuchoka deili kunaweza kuwa na maelezo
 
Try go check hormonal levels kama ulivoshauriwa.
progesterone, Estrogen,
Androgens (testosterone)
Thyroid hormones (T3, T4, TSH)
Pia usikubali kuwa unachoka, kiasi tu cha kuadmit ilo umekubali defeat.
Am afraid your husband could more than he seems to be in your eyes
 
Rekebisha kauli yako,et akajiproud! Kama ni kweli nisimsifie?kama umeona wivu lako hilooo
Ndo swali nililomuuliza mwanzo.
Akajiproud kuwa na mume mpole, anayejitahidi kuelewa.
Ni hatari
Huko kuelewa kwake we kuchoka deili kunaweza kuwa na maelezo
 
Tx kwa ushaur wako hapo juu,bt hapo mwisho umeharibu,ndio mwanzo wa kuogopeshana na kuanza kupandikiza hisia kuwa everyman cheats
Try go check hormonal levels kama ulivoshauriwa.
progesterone, Estrogen,
Androgens (testosterone)
Thyroid hormones (T3, T4, TSH)
Pia usikubali kuwa unachoka, kiasi tu cha kuadmit ilo umekubali defeat.
Am afraid your husband could more than he seems to be in your eyes
 
watch out we are UNPREDICTABLE we may be white during the sun shine n extremly black before the sun set, trust no MAN
 
Back
Top Bottom