MISS CDM
Member
- Feb 4, 2013
- 90
- 26
Zamani nlikua kama wewe ingawa wewe umezidi sana, mie nlikua nikichoka nasema kweli nimechoka na sijisikii kubanjuka, sasa siku hz nataka kubanjuka kila siku lakini mwenzangu nae ananipoozea sijui kadakwa huko nje au vp?! Sasa wewe siku utakapotaka kubanjuka utakuta jamaa hana tena hamu na wewe maana siku hz huko nje wapo wadada wanasubiria kuwasaidia watu kama wewe...Muombe Mungu atakusaidia na kila kitu kitakua shwari.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums