Ni Ubunifutu wa huku kwetu

Bora vijijini bado watoto wanaweza kutumia akili zao kutengeneza vitu vya kuchezea, kwa mjini ni majanga mana hakuna kitu mchina alichoacha kutengeneza kwa aili ya watoto na wazazi kazi yao ni kununua na kupeleka nyumbani. Mwisho wa siku watoto wanakulia ktk mazingira ya kutokuwa na haja ya kutumia akili zao kufanya udadisi na ubunifu wa vifaa vya kuchezea. Mama niletee gari....., niletee pikipiki....!!!!!
 
Hiyo ni kote tu ndio ilisababisha baiskel kupatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…