Ni TV gani Bora Kati ya hizi.

Ni TV gani Bora Kati ya hizi.

Tv siku zote inaanza LG hata bei zake mkasi sana inafata samsung sony hisense tcl bruhm skyworth panasonic pintechstarx na ndugu zake wengne ila kwa specification unazozitaka hapo juu andaa budget ya 450k minimum na ukihitaji tv usisite 0743586474 napatkana kkoo
Hisense ondoa kwenye hiyo list labda Hisense ambazo siyo smart tv ndiyo nzuri ila usije kununua Hisense smart tv nitakataka na sababu ninazo T con za hizo tv za Hisense zipo kwenye mother board hivyo kufanya kioo chake kuwa uselgess endapo motherboard itakufa
 
Basi sie wengine tunatumia mataputapu maana hizo sifa mnazoziongelea huwa siangalii kabisa
 
Tv siku zote inaanza LG hata bei zake mkasi sana inafata samsung sony hisense tcl bruhm skyworth panasonic pintechstarx na ndugu zake wengne ila kwa specification unazozitaka hapo juu andaa budget ya 450k minimum na ukihitaji tv usisite 0743586474 napatkana kkoo
Nataka Lg 32 smart ila huku Arusha nichangamoto kuipata
 
Habarini Wadau Kati ya TV hizi ipi ni Bora Kwa matumizi na haitaleta changamoto mbeleni huko.


1.Hometech (32 inches)
2.TCL (32 inches)
3.Alitop( 32 inches)
4.Aborder(32 inches)

Budget niliyonayo ni hii 310,000/=

Specifications nazotaka ni hizi

1. TV iwe FULL HD (1080p) au ultra HD (3840p) isiwe HD Ready.


2. Iwe smart TV au Android TV.

3. Iwe na speaker ya maana inayotoa sauti ikaskika.

4. Isiletee matatizo kama picha kuwaka kama mwanga wa disco.

5. Iwe na Bluetooth.
TCL kwa matumizi ya ndani pasina kuhamisha Kila mara. Kwa BIASHARA Homebase double screen
 
Nina smart tv alitop 43 ina miaka 2 sasa ipo ukutan haijawahi zngua chochote jamaa yng alimenya hisense 32 ya kawaida siyo smart imekufa sauti na haitengenezek no spare labda apate iliyokufa kioo wahamishe spare tv haijamaliza hata mwaka 1. Pia kuna mwamba alikuwa na samsung limemsumbua sn akauza akamenya goodvision 43 anatamba nalo tu maswala ya kununua tv ambazo spare hazpatkan na hata zkpatkana n bei kubwa kwa huu umeme wa bongo huu ni bora kumenya kna alitop tu ikfa n rahisi kutengeneza hzo story zngne humu ni ufala tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom