Rebel volcano
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 403
- 86
jamaa hapo kwenye picture alikwenda vitani iraq na akarudi marekani baada ya kufanyiwa shambulizi la kushtukiza na kupoteza miguu yake na mikono yake,ila cha kufurahisha ni jinsi ambavyo mke wake alikubaliana na hali hiyo na kuendelea kumpenda zaidi kuliko alivyokuwa akimpenda mwanzo!!!