Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.

(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Ahaaaaaa kumbe nawe mwana Jangwani:D:D:D:D:D
 
The rank by importance
1 simba (mikia FC)
2 Manchester United
3 England national team
 
Back
Top Bottom