Ni Tanzania pekee msafirishaji anapewa kosa la kutumia madawa ya kulevya.

Mzalendo JR

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,193
515
Habari wana jamvi...
Vyombo vya habari vimesheheni taarifa za kufikishwa mahakani kwa watuhumiwa topsy-turvy tofauti. Lakini baada ya kutafakari nimegundua kama vita ya madawa inatakiwa kupiganwa basi hawa watumiaji ndio chain ya kufuata hata kwa miaka miwili hadi wanapomshika King_ping wa ukanda huu wa EA.
Mala nyingi chunguzi hizi hua hazianzi kumpeleka au kumkamata mtumiaji, these are the people to work with and finally bursting the drug lord.
Hii ya kutaka publicity ya kila kukicha watumiaji na wasafirishaji kupewa kesi moja ni kuimarisha drug lords to make them clean. Kinachotokea ni these guys to cover either by intimidating or killing all direct contacts for their safety.
Mfano ni leo mtuhumiwa aliekamatwa SA akiwa na viwatilishi vya kutengenezea madawa kama msafirishaji, Intelijensia ya Tanzania imempeleka mahakamani kwa utumiaji. In simple statement wanampa kesi ndogo sana. This was a break through to their gang ikiwezekana kitengo kinaingiza/recruit mtu kama punda the same kama huyo aliepewa kesi ya kutumia.
To me they are covering the ways to burst the drug lords. Na sitaki kujua kama hawa watu hawajui njia sahihi ya kuwakamata majemedali wa mihadarati au ni publicity stunt ya viongozi wa awamu hii kwa kua inajulikana kama bila matamko na kuandikwa magazetini basi hufai. Hawa waagizaji walikua wanafikishwa mahakamani na vielelezo vyote 100% vipo, no drug lord can be put in jail kwa kutegemea kusachi anapoishi na kukuta kilo 300 za unga unless he is the dumbest of all on earth.
Ni hayo tu...
 
Ni sikitiko kama bado Tz kuna watu wanaodhani kuwa kinachoendelea huko mahakamani ni kupiga vita dawa za kulevya. Umeona wapi mtu anakamatwa kwa mbwe mbwe ati tulimvizia usiku na mchana hadi tukatumia utaalam wa hali ya juu kumpata.
Tukamwomba atupeleke home kwake tuka sachi madawa kama yapo. Muda wa siku 6 tumekuwa tukimtaarifu ujio wetu kwake. Nikajiuliza; Mlitaka kwenda kupata dozz au?
Huu ni utapeli wa kimawazo. Mnatufanya watoto kuwa hatujui kuwakamata. Aliyekupa hiyo siri kuwa flan huuza, umeshamnyima fursa kutoa tena taarifa
 
Hakuna cha vita wala nini..!

Waliokuwa "wanatafutwa" wameshapatikana.

Ni visasi tu!
 
Mkuu wangu kama ulidhani hii ni vita dhidi ya wauzaji na wasafirishaji wa mihadarati..basi nikupe pole sana mkuu wangu.
Umeniwahi mkuu! Hawa jamaa Wana kitu wanacholenga. Hivi kama Ni Vita dhidi ya madawa ya kulevya je nyaraka zilizochukuliwa nyumbani kwa Mbowe zina mahusiano gani na madawa ya kulevya?
 
Back
Top Bottom