Mkuu povu lanini bwanwaaaaaMkuu....
Hivi umeandika habari ama umbea..
Kama ni habari, mbona hakuna details za kutosha..
Ama ulikua unaongea na simu huku unandika...
Kwanza nilijua utanitaja kwenye ule uzi kwamba mimi ndie nimekuboa ulipo jiunga jfMkuu povu lanini bwanwaaaaa
Si umesoma na umeelewa japo kaweka maelezo mafupi. Halafu nyie si ndio mnajiita magriti thinka sada kwanini ushindwe kuelewa
Nikutajie nini mkuu kua na amani boss.Kwanza nilijua utanitaja kwenye ule uzi kwamba mimi ndie nimekuboa ulipo jiunga jf
Ni tanzania pekee kwenye watu wanaotupa taka pembeni ya mfereji wakifikiri zitajitoa zenyeweNi Tanzania pekee kila jmoc tunafanya usafi wa mazingira, ila taka tuzitoazo ktk mifereji tunawekwa pemben ya mfereji. Baada ya muda urudi tena mferejini