Ni tangazo kwa watoa kazi...

Ni tangazo kwa watoa kazi...

mtata mtatuzi

Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
44
Reaction score
10
Hamjambo? Nipo Morogoro
sasa,na shahada yangu ya
Ugavi na Manunuzi toka TIA
(2012). Tayari kufanya kazi
kwa kujitolea "bila utata" ili
kumsaidia mtoa kazi na mimi mwenyewe. Nzuri zaidi ni
itayoniruhusu kuwa karibu na
jamii,na isinibane sana(maana
na me nna yangu baada ya
kazi). Haya,karibuni
 
Back
Top Bottom