Ni tanesco au escrow???

love more than100

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
2,061
Reaction score
715
Jamani mi mniambie tuu nini shida umeme tunakatiwa muda wooote wa mjadala bungeni na mchana wakiuacha kidogo ujue kwanzia ile lunch time ni mpk 4usiku ndio ujee. Hii ni Arusha hata yale maeneo tusiyojuaga mgao safari hii tunauona..
 
TIGO
wanakata DATA, TANESCO
wanakata UMEME,
DAWASCO wanakata MAJI,
BODABODA wanakata
MIGUU, SHILOLE anakata
VIUNO, daaah noma
sanaaaaa hiiii
 
nlale na joto hili.. hamna umeme, wezi wanakataa kurudisha hela zetu... hata huyu mke nafikiria kumrudisha kwao wanipe chang yangu

Ahhha yamekukuta enh mrudishe tu asee huku pia joto kama limefunguliwa hakulaliki hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…