Ulichokiandika akina maana ...Wewe ni Muuza samaki sasa habari za siasa umezifahamu vipi.... hapo badala yakumuongelea Ngosha ambaye ajitambui sasa wewe unaanza kuattack Upinzan bila Fact...zozote ...sasa unafikil Elfu saba unazolipwa zitakusaidia nini?1.hawapendi kukosolewa km anayo mamlaka lazima atakushughulikia...
2.Wanapenda kuhukumu wao tu kibao kikigeuka ...utasikia naonewa kwa sababu za kisiasa
3.hawapendi kuachia nafasi kirahisi labda kuwe na ukomo,unakuta tangu chama kianze mwenyekiti/katibu mkuu yeye tu..na ukijaribu kumtoa atakufukuza
4.wabinafsi na wapenda rushes
5.wanapenda kutumia wananchi ili kuficha uchafu wao...wako tayari kuua ili wapate public sympathy
6.waongo sana
NB: vijana ndio nguzo yao kuu na vijana wengi hawajitambui...wanaingia kichwakichwa na lolote likitokea wao ndio waathirika wakuu,
Hapo mpinzani gani kawa attacked fafanua mkuu...Ulichokiandika akina maana ...Wewe ni Muuza samaki sasa habari za siasa umezifahamu vipi.... hapo badala yakumuongelea Ngosha ambaye ajitambui sasa wewe unaanza kuattack Upinzan bila Fact...zozote ...sasa unafikil Elfu saba unazolipwa zitakusaidia nini?
wewe Qumer tuWanazo sana.. BT ndio vinara wa uchwawi wananunua kwa gharama kubwa
Ukweli Daimaaa ni mchunguUlichokiandika akina maana ...Wewe ni Muuza samaki sasa habari za siasa umezifahamu vipi.... hapo badala yakumuongelea Ngosha ambaye ajitambui sasa wewe unaanza kuattack Upinzan bila Fact...zozote ...sasa unafikil Elfu saba unazolipwa zitakusaidia nini?