Ni tabia mbaya

Ni tabia mbaya

>Ni tabia mbaya kuongea jambo serious huku ukijichekelesha.
>Ni tabia mbaya kuingia kwenye sebule ya watu na kukanyaga kapeti na miviatu yako yenye matope.
 
Nitabia mbaya sana
 
Ni tabia mbaya kuwa na multiple ID's humu jamvini, wasipokoment thread zako unatumia ID nyingine kujikoment mwenyewe! Lol
 
Ni tabia mbaya kuamini kuwa wenye mafweza ndo wanatoka na mademu wakareee
 
Ni tabia mbaya kukaribishwa kwa watu na kujifanya unajua kila kitu.
 
ni tabia mbaya kupga mluzi chooni, ni tabia mbaya kuvaa dera barabarani ni tabia mbaya kugombania shuttle za bibo
 
ni tabia mbaya kwa wanafunzi wa udsm kuandka k.u.m.a ni tamu chooni
 
Back
Top Bottom