Ni tabia mbaya

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Ni tabia mbaya kila siku hukosei mda wa msosi unapoenda kwa watu,
Ni tabia mbaya unaenda kwa watu halafu unasahau kitu makusudi ili kesho uje kukichukua mda wa msosi.
Ni tabia mbaya magamba kusifia ujinga.
Ni tabia mbaya umeona thread halafu huna mchango
Ni tabia mbaya unakaa JF mpaka saa kumi na moja asubuhi halafu hutumiwi PM wala notification ya like
Ni tabia mbaya kuvunja sheria za JF
Ni tabia mbaya unaenda kanisani umevaa mlege,au sketi fupi ukiinama wakati wa kwaya utamu unaonekana

endelea
 
Ni tabia mbaya kutongozatongoza kila dem
Ni tabia mbaya kujampa hovyo mbele za wa2
 
ni tabia mbaya kuvunja amri ya sita.....
ni tabia mbaya kumrape mtoto mdogo...
ni tabia mbaya kukojoa barabarani...
 
nitabia mbaya wadada kuanika chupi bafuni tukiingia kuoga tunadinda, wakati ni chupi ya Sister unayemfata ................
 
Back
Top Bottom