Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,363
- 2,261
Labda nikuambie utafiti wangu ulikuwa ni local, nilishalisema hili. Ila japokuwa ni local una nguvu na mashiko. Sitoweza kuuleta hapa. Samahani kwa hilo!hahaaaaaaaa mama kutopendwa una evidence???? wewe kama mfanya utafiti leta utafiti hapa ama utuambie source ya utafiti wako watu wakausome, this time round tunataka huo utafiti usilete tena bla bla sijui twende twitani, ...
Habari zenu wakuu?
Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.
Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.
Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e).
zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi dhahiri au kwa taathira yake.
Chini ya sheria Na.4 ya 1992 ib.8 zikisomwa kwa pamoja na sheria Na.3 ib.3 ya 2000.
Sasa kwanini Katiba inavunjwa?
Nashaurinwashauri wa mama wampe maneno ya kusema.
Kuna watu hata ndani ya chama cha mapinduzi wanausaka Urais naona kawanyooshaView attachment 1940069View attachment 1940070
Niambie ni mwezi upi? Kumbuka unaweza kuwa mwenyekiti na usichaguliwe kupeperusha bendera ya chama.Kwani wakati anathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa CCM hakupigiwa kura? Mbona alipata 100% ya kura?
Na wewe tenga muda wako ufanye utafiti hata local(ukihitaji), utakachoona utasema. Tunakwenda taratibu yaani!hahaaaaaaaa mama kutopendwa una evidence???? wewe kama mfanya utafiti leta utafiti hapa ama utuambie source ya utafiti wako watu wakausome, this time round tunataka huo utafiti usilete tena bla bla sijui twende twitani, ...
Jeh! Ni muda mwafaka kutangaza mgombea urais ndani ya ccm?Ni haki yake, maana mwaka 2025 itakuwa ndiyo awamu yake ya kwanza, mwaka 2030-2035 ndiyo atakuwa anamalizia vipindi vyake viwili vya wanawake kumuweka madarakani. Sasa kama hii awamu ilikuwa niyakudra... basi aliyepo madarakani ni rais kudra. Rais anatakiwa kuanza awamu ya sita mwaka 2025, haya mengine ni vionjo vya kijiweni
Kwa hiyo hufahamu kuwa SSH ni Mwenyekiti wa CCM? Na alithibitishwa kwa kupigiwa kura? Fanya utafiti kujua hilo kama ulivyofanya utafiti kujua kuwa hapendwiNiambie ni mwezi upi? Kumbuka unaweza kuwa mwenyekiti na usichaguliwe kupeperusha bendera ya chama.
Na wewe tenga muda wako ufanye utafiti hata local(ukihitaji), utakachoona utasema. Tunakwenda taratibu yaani!
Labda nikuambie utafiti wangu ulikuwa ni local, nilishalisema hili. Ila japokuwa ni local una nguvu na mashiko. Sitoweza kuuleta hapa. Samahani kwa hilo!
Nimesha-prove mbona? Nimekuambia research yangu ni local, sikuiwekea soft wala hard copies. Proof ni hii, tembelea IG, mitaani, tweeter, fb n.k, zile page zenye wachangiaji wengi zaidi utaona(hapo ni kwa mitandaoni)hahaaaaa at least sijasema ni mtafiti,umeshindwa ku prove sijui kwa nini tukuamini kwa lolote lile!...
Yamekuwa hayo tena? Kama napoteza muda ok! Ukweli unao na unakukereketa!hujafanya utafiti wowote! acha kutupotezea muda..
Kweli ni chairperson ila niambie ni mwezi upi alichaguliwa?Kwa hiyo hufahamu kuwa SSH ni Mwenyekiti wa CCM? Na alithibitishwa kwa kupigiwa kura? Fanya utafiti kujua hilo kama ulivyofanya utafiti kujua kuwa hapendwi
Nimesha-prove mbona? Nimekuambia research yangu ni local, sikuiwekea soft wala hard copies. Proof ni hii, tembelea IG, mitaani, tweeter, fb n.k, zile page zenye wachangiaji wengi zaidi utaona(hapo ni kwa mitandaoni)
Incase ya mitaani, nimeshakuambia kuwa tembea uliza hata mtu mmoja mmoja(kuwa makini usije ukawatisha na hivyo kukupa majibi yasiyo sahihi, vaa kawaida tu yaani). Kingine?
Kwa hiyo amekuja kupindua mpaka vitabu vya dini?Kwa sababu za ki historia, tuli wadharau sana mpaka kwenye vitabu vya dini, ila kama ana uwezo wa kuongoza basi sawa tu. Sisi wengine tutafanya kazi ngumu
afu mi naona mbona poa tuu nchi iongozwe na wanawake. kwani kunashida gani?Habari zenu wakuu?
Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.
Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.
Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e).
zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi dhahiri au kwa taathira yake.
Chini ya sheria Na.4 ya 1992 ib.8 zikisomwa kwa pamoja na sheria Na.3 ib.3 ya 2000.
Sasa kwanini Katiba inavunjwa?
Nashaurinwashauri wa mama wampe maneno ya kusema.
Kuna watu hata ndani ya chama cha mapinduzi wanausaka Urais naona kawanyooshaView attachment 1940069View attachment 1940070
Ya Magufuli pia ni local ndio! Pia unaweza kuhakikisha kwa kufanya tu research local pia, nimeshakuambia hapo juu. Nina haki ya kuongea, kwani research yangu local hii inashabihiana na hali halisi ya wananchi mtaani na mitandaoni, come onheheeeeeeeeeeeNO RESEARCH, NO RIGHT TO SAY YOU ARE RESEARCHER!....na ya Magufuli ilikuwa local?...heheeeeeeeeeeeeee
Ameshawaita wenzie vigazeti2030 sio mbali na tuko 2021 hahaaaaa mkuu una utani, sidhani kama waliompigia na kumpa nguvu ndani ya chama chake watamgeuka,na kama kuna mpasuko she still got time to amend things,ubaya anajiamini..hicho ndio kinachowafanya muweweseke, tumekaa na marais wanaume wanakaa term mbili tongea uhuru, leo mwanamke akitaka kukaa urais kipindi kingine imekua tabu??!!
Unapenda uwe na haki sawa na mwanamke?afu mi naona mbona poa tuu nchi iongozwe na wanawake. kwani kunashida gani?
Kikwete mbona aliinua wanawake na mambo yakawa shwari tuu.
kwanza jinsi tunavowapa wanawake madaraka, ndo jinsi tunavotengeneza kizazi cha wanawake wakakamavu na mafighter na sio wanawake legelege.
Now hata watoto wa kike watakao zaliwa watakuwa wapambanaji, na dhana ya kutegemea wanaume itafutika kabisa kichwani mwao.
Mambo ya baba aache pesa ya mboga, mara sukari mara nini hayo yanakujakufutika. Na haki sawa ndipo itakapoanzia kujitengeneza yenyewe bila kufosiwa, kwasababu ya upambanaji wa wanawake.
Hata wale wanawake wavivu wanaodanga kwa kutegemea wanaume watapungua au kuisha kabisa, sababu ya kutoa mfano kwa wanawake wenzao wapambanaji.
Ukumbuke tuu Hawa alimsaidia Adam kuchuma tunda tuu, je kilichotokea unakijuaafu mi naona mbona poa tuu nchi iongozwe na wanawake. kwani kunashida gani?