Ni story ya kweli kabisa

Ni story ya kweli kabisa

Inasemaje Dr.......coz amesema ni fupi kumbe ni mlolongo junction Mombasa road........

Ni kastori tu Dr sasa sijui ni ka ukweli au ka uongo...

Kuna dada huyo alipendana na jamaa fulani, ila inaonesha huyo dada alikufa na kuoza kwa huyo kijana...

Bi mkubwa alipewa mimba nyingi tu akawa anashusha injini, baadaye akaliwa sana ule mtandao pendwa na huyo bazazi...

Kumbe huyo kijana alikuwa mpita njia tu, mwisho wa siku akamwacha solemba huyo bi mkubwa...

Baada ya muda bi dada akaolewa na mwanaume mwingine lakini chaneli zikawa hazikamati si ITV wala TBC...

Kwenda kwa Dr Preta na Dr watu8 (hapa nimechomekea), akaambiwa injini alizoshusha ni nyingi sana hivyo hawezi tena kupata watoto, pia kwa kuwa kafumuliwa sana marinda hata chaneli zingekuwa zinakamata basi asingeweza kujifungua kirahisi...

Bi mkubwa baada ya kuambiwa hayo akaona hakuna tena furaha ya maisha, akaandika waraka huu kwenda kwa mdogo wake ili ausambaze kwa walimwengu...

Nadhani hivi ninavyoandika Izraeli atakuwa ashamrestisha mahali pema peponi...
 
Last edited by a moderator:
Bi mkubwa alipewa mimba nyingi tu akawa anashusha injini, baadaye akaliwa sana ule mtandao pendwa na huyo bazazi...

Mukulu mi nataka tu kujua kuwa umejuaje kuwa huo ni mtandao pendwa?

Nauliza tu lakini .......!!!!!!!!!!
 
Asante Dr kwa tafsiri yakinifu........mwambie basi akiwa anacopy tuvitu......atujulishe alipotoa....maana nilishawahi kusikia kitu kama hicho toka mwaka juzi..........
 
Dr mleta soga jamvini kasema kaitoa FB ingawaje mimi niliisoma hapa hapa JF...
 
Mukulu mi nataka tu kujua kuwa umejuaje kuwa huo ni mtandao pendwa?

Nauliza tu lakini .......!!!!!!!!!!

Hahahah!!!

Nimetumia lugha ya picha mkuu na wakati huo huo nilikuwa najaribu kuweka madoido ya lugha tu...

Sasa sijajua wataka ufafanuzi wa "mtandao pendwa halisi (tigo)" au "mtandao pendwa wa lugha ya picha"?
 
Kabla hujanijibu naomba urudi ukasome kile ulichoandika halafu ndo unijibu

Au sio mukulu??
 
Mimi nalitumia maneno "mtandao pendwa" kwa dhana ya Mtandao wa Tigo (Millicom) na si vinginevyo.

Hivyo kama utataka tujadili kupendwa au lah, basi moja kwa moja fikiria namna Tigo (Millicom) ilivyokuwa au inavyopendwa na watumiaji wake.

Ukitaka kuelewa kinyume na hapo lazima utapatwa na mkanganyiko.
 
Back
Top Bottom