Ni Spika gani wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameitendea haki nafasi ya uspika?

..i am 80% sure kwamba vikao vya bunge lililojadili mswada wa kuundwa kwa serekali ya Tanganyika viliongozwa na Pius Msekwa.

..20% nakuachia kwamba nimekosea, and I challenge you kutuletea rekodi za Hansard.

KAma ni vikao vya bunge hata Jenister Mhagama, Nzungu au Tulia Ackson wamewahi kuongoza vikao vya bunge.
 
KAma ni vikao vya bunge hata Jenister Mhagama, Nzungu au Tulia Ackson wamewahi kuongoza vikao vya bunge.

..hamna tabu.

..nimesema naukubali mchango wa Pius Msekwa kutokana na utendaji wake wakati ilipojadiliwa hoja binafsi ya Mh.Njelu Kasaka kuhusu kuunda serikali ya Tanganyika.

..hoja binafsi ya Jenerali Ulimwengu iliyopelekea kuandikwa kwa sheria ya maadili ya uongozi ilijadiliwa chini ya uongozi wa Pius Msekwa.
 
WOTE CHA MTOTO MKONGWE WA NJIA NI SAPI

Chief Adam Sapi Mkwawa 1963-1972 (MIAKA 9)

Chief Adam Sapi Mkwawa 1975-1994 (MIAKA 19)

TOTAL = MIAKA 28
 
Hatuwezi ku deliberate. Kwa sababu huyu wa sasa hata bunge hatulioni. Na siasa imekatazwa. Sasa siui wanajadili bongo movie bungeni?

NI uvivu wako wa kusoma hansard. Binafsi nahusudisha bunge la England la chini ya King James and King Charles yaani la tangu 1603 hadi 1649. Ndiyo bunge pekee duniani liliwahi kuwa na jeshi na likapigana na mkuu wa nchi na kumshinda. Ndilo bunge pekee lililokuwa la kwanza kumshitaki mkuu wa nchi na kumkata kichwa (King Charles) kama adhabu yake.

Hakukuwa hata na redio, nimeyasoma kwenye vitabu.

Hivyo, ni uvivu wako tu kusubiri TV, hija ambayo haina ta punje ya mashiko.

Pambaf.
 
WOTE CHA MTOTO MKONGWE WA NJIA NI SAPI

Chief Adam Sapi Mkwawa 1963-1972 (MIAKA 9)

Chief Adam Sapi Mkwawa 1975-1994 (MIAKA 19)

TOTAL = MIAKA 28

Na Adam Sapi Mkwawa ndiye Spika pekee ambaye bunge lake lilikataa muswada wa Rais na kuurudisha na Rais akabwaga manyanga. Tena siyo hawa marais wa kuja bali ni Rais anayeheshimiwa hata miaka 200 ijayo yaani Rais Julius Nyerere. Je, ilikuwaje? Ilikuwa hivi.

Mwaka 1969 Waziri wa Elimu, Solomon Eliufoo aliugua na ikaonekana anaweza asiendelee kuwepo serikalini. Serikali kwa ku-panic ikapeleka muswada bungeni unaohusiana na mafao au maslahi ya mawaziri hasa wanaougua.

Muswada huo ulileta mgawanyiko bungeni ukizingatia kwamba ni miaka miwili tu tangu siasa ya Ujamaa na Kujitegemea itangazwe pia miiko ya uongozi.

Bunge likaukataa muswada ule likamrudishia Rais Nyerere ili ikiibidi afanye lolote na kama ni kuurudisha tena basi na iwe ili hatimaye wavunje bunge na nchi irudi kwenye uchaguzi.

Rais Nyerere mwenyewe alipohojiwa na waandishi alinywea na kusema "the parliament had a point" yaani bunge lilikuwa na hoja na hakuthubutu kuupeleka tena bungeni.

Haya, niambieni ni bunge lipi tena lililowahi kufauluujasiri kama huu. Wote waliobaki na mnaowataja wafyata mkia watupu, tena kukiwa na hatauwezekano wa kuhama vyama.

..hamna tabu.

..nimesema naukubali mchango wa Pius Msekwa kutokana na utendaji wake wakati ilipojadiliwa hoja binafsi ya Mh.Njelu Kasaka kuhusu kuunda serikali ya Tanganyika.

..hoja binafsi ya Jenerali Ulimwengu iliyopelekea kuandikwa kwa sheria ya maadili ya uongozi ilijadiliwa chini ya uongozi wa Pius Msekwa.

Namkubali sitta ndo aliiendesha ikulu Akiwa Dodoma, lakin wengine wanaendeshwa
 
NI uvivu wako wa kusoma hansard. Binafsi nahusudisha bunge la England la chini ya King James and King Charles yaani la tangu 1603 hadi 1649. Ndiyo bunge pekee duniani liliwahi kuwa na jeshi na likapigana na mkuu wa nchi na kumshinda. Ndilo bunge pekee lililokuwa la kwanza kumshitaki mkuu wa nchi na kumkata kichwa (King Charles) kama adhabu yake.

Hakukuwa hata na redio, nimeyasoma kwenye vitabu.

Hivyo, ni uvivu wako tu kusubiri TV, hija ambayo haina ta punje ya
 
1. Samuel Sitta-Was the best
-alisimamia nidhamu
-hakuwavumilia wakora
-alikuwa na uelewa mpana kwa mambo mengi
-aliupenda muungano
-na alitumia mamlaka yake kuulinda muungano na umoja wa kitaifa

2. Pius Msekwa

-alikuwa na uelewa mpana kwa mambo mengi
-aliupenda muungano
-na alitumia mamlaka yake kuulinda muungano, umoja wa kitaifa, na amani.

3. Job Ndugai-mda wake haujaisha bado, alinganishwe na wenzake baada ya kustaafu

-Ila anaipenda nchi yake (ni mzalendo kweli kweli)
.
.
.
.
Mama Anna Makinda-anaweza kuwa wa mwisho

-She was so week
-Bunge lake lilikuwa la vurugu
-Alikuwa na uelewa mdogo kwa mambo mengi
-Na aliendeshwa na baadhi ya wabunge, hasa wabunge wakorofi
-Kwa kifupi alipwaya
Sure?
 
Tumepitia awamu na nyakati mbali mbali ambazo zilikuwa zikiambatana na uongozi wa viongozi wa bunge kubadilika kadri ya muda.

WAMEORODHESHWA KULINGANA NA MUDA WALIOTUMIKIA KUANZIA 1956 NA KUENDELEA

1.Hon. Ablulkarim Yusufali Allibai Karimjee 1956-1962

120_150_KARIMJEE.JPG

2.Hon. Chief Adam Sapi Mkwawa 1963-1972

120_150_ADAM_SAPI.JPG

3.Hon. Chief Erasto Mang'enya 1973-1975

120_150_Hon._Erasto_Mangenya_.jpg

4.Hon. Chief Adam Sapi Mkwawa 1975-1994
120_150_ADAM_SAPI.JPG

5.Pius Msekwa 1994-2005
Is the former speaker of the Parliament of United Republic of Tanzania from 1995 to 2005. He was born on 9, June 1935 in Ukerewe district in Mwanza.

Education Career.

Pius Msekwa got his Bachelor degree in History (BA. History) from the University of Makere, Uganda in 1960 and a degree of Law from the Open University of Tanzania. In 1973 to 1974 Pius Msekwa joined the University of Dar es salaam for Master’s studies in Political Science.

Employment History.

  • The chairman of Commonwealth Parliamentary Association (CPA) in 1992-2002.
  • Law Reforms secretariat member in 1993-1994.
  • Member, the President Commission on Political Parties Monitoring in 1991-1992.
  • Chairman of the Board of Directors of Capital Development Authority in 1985-2000.
  • Chairman of the Administrative Council the College of African Wildlife Management in 1985-2000.
  • Permanent Secretary in the Prime Minister’s Office in 1984-1989.
  • Administrative Council chairman of Moshi Cooperative College 1984.
  • Member of Legal Law Reforms Secretariat in 1982 – 1983.
Leadership in Education.

Pius Msekwa was a Honorary Professor at the University of Dar es Salaam in 1976, The Chairman of Tanzania Law Commission (Msekwa Commission) in 1975 -1977 and the Vice Councillor of the University of Dar es salaam in 1970- 1977. Also he was a member and Vice Chairman of the Tanzania Electoral Commission in 1962 to 1980.

Other Career.

  • Clerk to the Parliament of Tanzania in 1962-1970.
  • Speaker of Tanzania Parliament 1991-1994.
  • Member of Parliament representing Ukerewe Constituency in Mwanza 1990-1995.
  • Regional Commissioner of Tabora and Kilimanjaro region in 1981-1984
  • Parliament officer 1981-1984.
  • Secretary General of the ruling Party - Chama Cha Mapinduzi (CCM) in 1977-1980.
  • Secretary General of Tanganyika Africa National Union (TANU) 1967-19
120_150_MSEKWA_MPYA.jpg

6.Samuel John Sitta 2005-2010

was born on 18, December in 1942 in Urambo district, Tabora. He was a speaker of the National Assembly in 2005 to 2010. Currently he is a Member of Parliament representing East Urambo constituency in Tabora region and the Minister for East Africa Coorperation.

Education Career.

Samuel Sitta undergone various schools and colleges as follows;

  • Bachelor degree in Law (LLB), University of Dar es salaam 1964-1971.
  • Advanced Diploma in Management, University of IMEDE- Switzerland in 1976-1976.
  • Secondary and High school at Tabora Boys Secondary School in 1958-1963.
  • Primary education at Urambo Primary school in 1950-1953.
  • Middle School education at Sikonge Middle school in 1954-1957.
Employment history.

  • Managing Director at Tanzania Investment Centre (TIC) from 1996-2005.
  • Constituency, Minister and Regional Commissioner 1975-1995.
  • Secretary and director of Administration at National Development Corporation (NDC) IN 1969-1975.
  • Branch Manager at CALTEX OIL in 1967-1969.

Political Career.

  • Minister for East Africa Cooperation from 2010 to Date
  • Speaker of the Parliament of United Republic of Tanzania from 2005 to 2010.
  • Kilimanjaro Regional Secretary for the ruling party (Chama Cha Mapinduzi) in 1993-1993.
  • Iringa Regional Secretary for the ruling party (Chama Cha Mapinduzi) in 1987-1987.
  • Member of National Executive Council for Chama Cha Mapinduzi from 1977-1987.
120_150_Samuel_Sitta_-NEW.jpg

7.Hon. Anne Semamba Makinda
Speaker 2010-2015
Hon. Anne Semamba Makinda is currently serving as Speaker of the National assembly and the Member of Parliament for South Njombe constituency in the fourth government phase. She was born on 26 July, 1949 in Njombe District, Iringa Region.

EDUCATION BACKGROUND.

She went to Uwemba Primary School in Njombe and Peramiho Girls Secondary school in Ruvuma in 1957 to 1964 and later on she joined Masasi Girls’ secondary school for ordinary education in 1965-1968. After secondary education Hon. Makinda joined Kilakala Girls’ High school for advanced level studies in 1969 and 1970 then to the Institute of Development and Management (IDM) Mzumbe for Advanced Diploma in Accountancy in 1975. Later on she took a certificate for Pre CPA Course at the Institute of Finance Management (IFM).

EMPLOYMENT BACKGROUND.

Hon. Makinda before elected as the speaker of the National Assembly in 2010, She was a Chair Person of Board of Directors of Tanzania Tea Board in 2010, Chairperson of Board of Directors of Tanzania Property and Business Formalization Programme in 2012 and the commissioner for Ruvuma Region in 1995-2000.

Also Hon. Makinda was the Minister for Ministry of Community Development, Gender and Children Affairs in 1990 -1995, The Coordinator of Union matters, the In charge of Central Government in the State, Prime Minister’s office and the In charge of Information and Broadcasting from the year 1983 – 1990.

POLITICAL CAREER.

Hon. Makinda started her political career in 1965 as Chairman of Tanganyika African National Union (TANU) Youth League at Kilakala Secondary School, also at the Institute of Development Management – Mzumbe, Morogoro , the Member of Parliament representing Youth in 1975 -1995, Chairperson of Tanzania Women Parliamentary Group in 2000-2010 and also the member of the National Executive Council from 1977 to date.

Also she was the Deputy Speaker of the Tanzania National Assembly in 2005 – 2010 who led the Southern Africa Development Community (SADC) Women Parliamentarians Advocacy Mission to Lobby for the Increase of Women representation to 30 % in their respective Parliaments in Botswana, Malawi, Mozambique and Zambia.

Hon Makinda also led the delegation of SADC Parliamentarians Observer to Botswana in the 2009 elections and was the Deputy Chairperson of SADC parliamentary Forum in 2008 -2010. Others skills acquired by Hon Makinda include skills on Management in Cape Town, Political matters in Harare Zimbabwe and Administration in Dublin Ireland
120_150_makinda_-NEW.jpg

8.Hon.Job Yustino Ndugai 2015-2020
Job Yustino Ndugai (born 21 January 1960) is a Tanzanian politician who has been Speaker of the National Assembly of Tanzania since 2015. Previously he was Deputy Speaker from 2010 to 2015.[1]

Early life and education
He was educated at Matare Primary School, Kibaha Secondary School and Old Moshi High School.

Political career
He has served as the member of parliament for the Kongwa constituency since 2000. Ndugai was named as the most active MP in the 9th Tanzanian Parliament.

Ndugai was Deputy Speaker of the National Assembly from 2010 to 2015. He was elected as Speaker of the National Assembly on 17 November 2015. He received 254 out of 365 votes

ndugai+image.jpg
Mh Samwel Sita alifanya kazi nzuri sana ktk kipindi chake. Bunge la vyma vingi. Bunge lilikuwa hai. RIP Mzee Sita.
 
NI uvivu wako wa kusoma hansard. Binafsi nahusudisha bunge la England la chini ya King James and King Charles yaani la tangu 1603 hadi 1649. Ndiyo bunge pekee duniani liliwahi kuwa na jeshi na likapigana na mkuu wa nchi na kumshinda. Ndilo bunge pekee lililokuwa la kwanza kumshitaki mkuu wa nchi na kumkata kichwa (King Charles) kama adhabu yake.

Hakukuwa hata na redio, nimeyasoma kwenye vitabu.

Hivyo, ni uvivu wako tu kusubiri TV, hija ambayo haina ta punje ya mashiko.

Pambaf.

Hebu twende taratibu maana naona una hoja chache na kejeli nyingi. Unaonyesha kwamba unafahamu historia na umefikia mpaka kujua maamuzi ya bunge la UK miaka hiyo. Unasema kwamba hata taarifa hiyo ya maamuzi ya bunge la UK uliyapata kwenye kitabu na sio kwenye redio wala tv. Sasa tuje kwenye uhalisia, sasa hivi technology imebadilika na uwezo wa kupata habari umekuw mrahisi. Kuna kitabu chochote kinachoandika taarifa za kila bunge letu mpaka useme watu ni wavivu kupata hizo taarifa? Watu wengi hasa wa sasa walipata taarifa kwa njia ya bunge live kutokana maendeleo ya sasa, na ambalo halipo. Kuna hansard, je ni utaratibu gani anawez kutumia raia wa kawaida kupata hansard za bunge? Pls usilete hoja za kejeli bila kuangalia uhalisia kisha ukajifanya bonge la mjuaji, kwetu sisi wengine tunakuona limbukeni tu.
 
Kwa mabunge yote niliyowahi kushuhudia toka katikati ya miaka ya sabini nikiwa na ufahamu, hili la sasa limezidi kuwa muhuri na ni la hovyo kuwahi kutokea.

Sifa hiyo pia inaenda kwa spika wa sasa ambaye amechukua bunge na kuliweka "Hostage" ikulu...!!

Ni bunge pekee ktk nchi hii ambalo mbunge wake ameshambuliwa kwa risasi hadharani na halikuhangaika kuunda hata kamati, walau ya uongo na kweli "Kuchunguza".

Hakuna bunge Puppet to the Executive, Liability to the people and an Insult to Democracy as this one. Hivyo kwa mtizamo wangu Ndugai ni spika bure kuwahi kuonekana ktk Tanzania. He better go to hell for subverting the will of the people.
 
Mama Anna Makinda-anaweza kuwa wa mwisho
-She was so week
-Bunge lake lilikuwa la vurugu
-Alikuwa na uelewa mdogo kwa mambo mengi
-Na aliendeshwa na baadhi ya wabunge, hasa wabunge wakorofi
-Kwa kifupi alipwaya
I beg to differ mkuu
Mama Makinda was far far better than the incumbent Speaker. She was somehow fair, diplomat and social
 
Hebu twende taratibu maana naona una hoja chache na kejeli nyingi. Unaonyesha kwamba unafahamu historia na umefikia mpaka kujua maamuzi ya bunge la UK miaka hiyo. Unasema kwamba hata taarifa hiyo ya maamuzi ya bunge la UK uliyapata kwenye kitabu na sio kwenye redio wala tv. Sasa tuje kwenye uhalisia, sasa hivi technology imebadilika na uwezo wa kupata habari umekuw mrahisi. Kuna kitabu chochote kinachoandika taarifa za kila bunge letu mpaka useme watu ni wavivu kupata hizo taarifa? Watu wengi hasa wa sasa walipata taarifa kwa njia ya bunge live kutokana maendeleo ya sasa, na ambalo halipo. Kuna hansard, je ni utaratibu gani anawez kutumia raia wa kawaida kupata hansard za bunge? Pls usilete hoja za kejeli bila kuangalia uhalisia kisha ukajifanya bonge la mjuaji, kwetu sisi wengine tunakuona limbukeni tu.

Mbumbumbu ni mbumbumbu tu hawezi kuuitwa vingine. Kama hata hujui hansard unawezaje kuipata wakati ni mali yako na wanaipata wengi tu, sina cha kukusaidia zaidi ya kukupa pole kutokana na umbumbumbu wako.
 
Don't be naive, sema utaratibu wa kupata hansard kwa mimi raia wa kawaida. Sio kuniambia wengi wanapata bila kusema ni kwa utaratibu gani. Ww huna lolote zaidi ya kuleta nyodo za kishamba.
 
Back
Top Bottom