Ni simu ipi yenye kamera nzuri

Naka boy

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
321
Reaction score
110
Habari zenu wana Jf.. ni simu ipi ya bei rahisi kama Tsh150,000/= yenye camera nzuri ( uwezo wa kutoa picha safi na nzuri) asanteni
 
150000 unataka kamera nzuri? Vitu vizuri vinaendana na thamani ya pesa. Ukiwa na pesa ndogo usitegemee vitu vizuri ndugu.
 
Habari zenu wana Jf.. ni simu ipi ya bei rahisi kama Tsh150,000/= yenye camera nzuri ( uwezo wa kutoa picha safi na nzuri) asanteni

Ndugu kwenye picha na music hakuna simu inayopita blackberry
 
mkuu p3 hakuna kitu..usimdanganye jamaaa....ktk simu zeny camera mbovu p3 inaongoza
Sasa anataka ya kilo na nusu unategemea aambiwe iPhone au? hizo ndizo zinachezea range anayoweza miliki,
hiyo bei ategemee camera sio zaidi ya 5MP afu sio megapixels tu hata ukubwa wa pixel ovyo....
 
Blackberry ipi hiyo?
Jaribu kua very specific sio neno tu blackberry, wana simu nyingi mno na nyingi vimeo...

Ni kweli mkuu ila blackberry nyingi tena nyingi zote ziko poa maeneo hayo wala huitaji kudowload ujinga mwngne kuweka mbwembwe, kwaa ushauri tu kuanzia model za 9000 naa kuendelea
 
Habari zenu wana Jf.. ni simu ipi ya bei rahisi kama Tsh150,000/= yenye camera nzuri ( uwezo wa kutoa picha safi na nzuri) asanteni

Kanunue Blackberry Used hata ikiwa na 2 MP huwa inatoa picha yenye kiwango kizur sana!
 
2MP kiwango kizuri? Nadhani ni utani huu!

Sitanii!! Mwaka 2008 hadi 2011 nilikuwa natumia Nokia 6270, ina 2 MP lakini Quality ya picha zake huwez hata kuzifananisha na picha za Tecno P3 ambayo pia natumia kwa sasa na ina 3 MP! Niliweza hata ku attach picha zake kwenye Projects mbalimbali na zilikubalika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…