Jamaa na mbunduki wake ila akikutana na polepole anakuwa mdogo balaaWakuu naomba kujuzwa ni bunduki aina gani hiyo kwa huyo askari inaonekana ni ya technology ya hali ya juuView attachment 1618000
Yes mkuu hiyo machine yenyeweP 90 RIFFLE zipo na design mbalimbali View attachment 1618082
Yes mkuu nimeielewa hiyo machine. Risasi yake ukipigwa haitokei upande wa pili ili kutomdhuru asiyehusika.icheki hapa jamaa wameielezea vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimependa ulivyo mchambua jamaaJamaa mkono wake kuna space kati ya fore arm na bicep. Huku fore arm imetanuka.
Means anafanya sana mazoezi ya resistance, push ups, pull ups na ngumi.
Mishipa inaonekana clearly.
Means ametoka kufanya hayo mazoezi, au ana zaidi ya siku tatu anafanya hayo mazoezi ila pia hanywi maji mengi.
Miwani nyeusi.
Hataki mtazamane. You can always sense fear in eyes.
Also usimsogelee
Dah kweli mkuu.Jamaa na mbunduki wake ila akikutana na polepole anakuwa mdogo balaa
Kabisa mkuu hapa saivi naenda kufanya online shopping
Safi kabisa na mziki wake siyo wa kitotoJamaa mkono wake kuna space kati ya fore arm na bicep. Huku fore arm imetanuka.
Means anafanya sana mazoezi ya resistance, push ups, pull ups na ngumi.
Mishipa inaonekana clearly.
Means ametoka kufanya hayo mazoezi, au ana zaidi ya siku tatu anafanya hayo mazoezi ila pia hanywi maji mengi.
Miwani nyeusi.
Hataki mtazamane. You can always sense fear in eyes.
Also usimsogelee
Mwenyewe anajiona komando kipensi [emoji23][emoji23][emoji23], alafu home life gumu ubwege huuWakuu naomba kujuzwa ni bunduki aina gani hiyo kwa huyo askari inaonekana ni ya technology ya hali ya juuView attachment 1618000
Heshimu kazi za wenzio, yeye anategemewa na Ndugu zake kupitia hiyo kazi,Mwenyewe anajiona komando kipensi [emoji23][emoji23][emoji23], alafu home life gumu ubwege huu
Dah! Inatapikaaa njuguu 😊😊icheki hapa jamaa wameielezea vizuri
Naheshimu kazi yao lakini siyo ujinga wanaofanya kwa kutumwa na CCM kupiga au kuua watu ovyo, wajibu wao wameuweka pembeni kazi kutumikia CCM, pumbavuHeshimu kazi za wenzio, yeye anategemewa na Ndugu zake kupitia hiyo kazi,
hata hao makomandoo siyo kwamba Ni matajiri wapo kwa ajili ya ulinzi siyo wafanya biashara.
Hivi hii moja sh ngapi mkuu??Yapz ila zipo za matole tofauti. Zina mwaga njugu zilee baraaa kabisaa.. huwa nazi enjoy kwemye game tu..View attachment 1618075View attachment 1618076
Jamaa mkono wake kuna space kati ya fore arm na bicep. Huku fore arm imetanuka.
Means anafanya sana mazoezi ya resistance, push ups, pull ups na ngumi.
Mishipa inaonekana clearly.
Means ametoka kufanya hayo mazoezi, au ana zaidi ya siku tatu anafanya hayo mazoezi ila pia hanywi maji mengi.
Miwani nyeusi.
Hataki mtazamane. You can always sense fear in eyes.
Also usimsogelee
Huyo mlinzi atakuwa yakhe...maana sielewi sasa hapo anamlinda au anambambia?!!..ujue ntu unaweza kung'oka meno kimasikhara tuDah kweli mkuu.View attachment 1618590