Ni silaha aina gani hii

Wakuu naomba kujuzwa ni bunduki aina gani hiyo kwa huyo askari inaonekana ni ya technology ya hali ya juuView attachment 1618000
huzo ni Fn P90 ni mziki sana, hutumika sana na special force ktk specia task,

mziki wq Belgium ni jamiii moja ya Smg kundi la submachine gun. Ni nyepesi kulinganisha na SMG, inanguvu na speed ktk utoaj risasi.

ila sio silaha ya mapigano ya umbali mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…